Naomba kuweka mada hii mezani,
Nashindwa kuelewa sisi watanzania tumelogwa na nani tunashindwa kujadili maendeleo yetu sisi na wanasiasa tunaowategemea kila siku ni kesi mahakamani haziishi na...
Habari waungwana,
Ndoto ni kitu ambacho ima humpa mtu faraja au kunyima raha kabisa inategemea sana na misingi ya mhusika kwa namna anavyozichkulia ndoto.
Lakini huku mtaani, kazini na hata...
Pamoja na kunyonywa kwa kodi nyingi sana kuanzia PAYE mpka VAT bila kusahau loans board ambayo wengine wanaona ni harali kulipa 15% ambayo makubaliano yalikuwa ni 8% bado siku ya mei Mosi watabeba...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli leo ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wagonjwa katika Taasisi ya Magonjwa ya Saratani ya Ocean jijini Dar es salaam na...
Wadau naombeni ushauri,najua kuna Sheria zinazozuia kuajiri raia wa nje Kwa kazi zinazoweza kufanywa na watanzania.
Hili la MADEREVA wa EAC na EALA karibu MADEREVA 20 waliopo pale ni kama watatu...
Wakuu hii Mvua haijawahi Kunyesha hivi ni Mvua Kubwa sana natazama maji Jangwani Makao Makuu ya Yanga Uwanja ule wa Kaunda Umefurika kama Bwawa la Mtera.
Baada ya upinzani kupoteza dira na kukosa ajenda mbele ya wananchi.
Sasa hivi wameungana na wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi.
CHADEMA baada ya kupoteza mvuto kwa...
Habari za leo rafiki yangu,
Karibu kwenye barua ya leo ya wazi, ambapo kupitia barua hizi za wazi nakwenda kuzungumza na watu mbalimbali kuhusu hali wanazopitia na namna wanaweza kufanya maisha...
Baba wa Taifa aliweka umoja, amani na upendo kama Nguzo kuu za taifa, taratibu tumeanza kusahau kabisa nakudhani umoja, amani na upendo wa kila chama pekee ni muhimu kuliko Taifa, kufanya hivyo ni...
Habari wanajamiiforums,
Naomba msaada wenu kwa watakaoweza kunisaidia, nina kamkutano fulani hivi cha kama watu 7 hivi sasa nataka nikafanyie kwenye beach hotel mojawapo ya hapa dar. Nina max...
Baada ya serikali kuvitoa viroba, kwa nia njema ya kutukomboa Vijana...sasa vijana tumeletewa Bia za bei rahisi
Karibu kila kampuni ya Bia, Imetoa 'Vimwendokasi'(virikuu)... Bia mpya (singependa...
Watu saba wa familia moja katika kijiji cha Kibuhi wilaya ya Rorya mkoani Mara,wamefikishwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara mjini Musoma, kwa ajili ya matibabu,baada ya kula mbona za...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA...
Habari Gani wakuu
juzi(ijumaa) nimenunua umeme mida saa 12 jioni kupitia Tigo Pesa, kama ilivyo kawaida ukinunua umeme unaletewa ujumbe kwamba muamala wako umekamilika na majibu yakirudi...
Baada ya serikali kuvitoa viroba, kwa nia njema ya kutukomboa Vijana...sasa vijana tumeletewa Bia za bei rahisi
Karibu kila kampuni ya Bia, Imetoa 'Vimwendokasi'(virikuu)... Bia mpya (singependa...
Wakuu habari!
Wadau, naomba kuuliza, wako wapi wale waliokuwa wakipiga PUSHUP wakati wa kampeni na miezi michache baada ya uchaguzi mkuu uliopita?
Maana huku kwetu hawaonekani sıku hızı.
Wadau leo kwenye mitandao nimesoma kuwa ni mwaka mmoja sasa toka Ngwea afe SA lakini sio ndugu wala mtu yeyote anajua alikufa kwa sababu gani.
Hili jambo haliniingii akilini kwa sababu...
Kimenuka maeneo ya mzinga Kongowe jijini Dar es Salaam vijana wahuni almaruuf kama panya rod wanafanya yao wameteka gari ilokua na msafara wa harusi na kuwajeruhi baadhi ya watu waliomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.