kaseva JF-Expert Member Mar 19, 2016 473 305 Apr 10, 2017 #1 Najaribu kuwaza kwa sauti Maana jamaa alikamatwa tu wakasahau kumnyang'anya simu, na jamaa akaitumia nafasi kupost Asingepostiiiii!!!!! Eeeeeeeehhhhh
Najaribu kuwaza kwa sauti Maana jamaa alikamatwa tu wakasahau kumnyang'anya simu, na jamaa akaitumia nafasi kupost Asingepostiiiii!!!!! Eeeeeeeehhhhh
magnifico JF-Expert Member Jan 14, 2013 9,881 21,115 Apr 10, 2017 #2 Saizi kungekuwa na hashtaji za FREENAYWAMITEGO.
kaseva JF-Expert Member Mar 19, 2016 473 305 Apr 10, 2017 Thread starter #3 magnifico said: Saizi kungekuwa na hashtaji za FREENAYWAMITEGO. Click to expand... Mkuu unajua nawaza Yule mteka mkuu alilaumu sana jamaa kuachiwa simu, ndo maana akajikomba atolewe upesi Orh Tanzania yangu
magnifico said: Saizi kungekuwa na hashtaji za FREENAYWAMITEGO. Click to expand... Mkuu unajua nawaza Yule mteka mkuu alilaumu sana jamaa kuachiwa simu, ndo maana akajikomba atolewe upesi Orh Tanzania yangu
cariha JF-Expert Member Apr 9, 2015 22,077 46,518 Apr 10, 2017 #4 Ney angepotea mazima aisee kamuudhi mkuu wa nchi
kaseva JF-Expert Member Mar 19, 2016 473 305 Apr 10, 2017 Thread starter #5 cariha said: Ney angepotea mazima aisee kamuudhi mkuu wa nchi Click to expand... Sana aiseeee
jodac JF-Expert Member Apr 9, 2014 266 247 Apr 10, 2017 #7 Sio utani. Sembuse alikuwa amesha jisweka mvomero.