Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,324
- 152,136
Haitapita miezi miwili na pengine hata ndani ya mwezi mmoja kuanzia leo wataibuka wasanii wengine na mashairi yenye ujumbe mzito pengine kuliko hata yale aliyokuwa anaimba Roma.
Sioni uwezekana wa Roma kuimba tena nyimbo alizokuwa anaimba ila naamini ame-inspire wasanii wengine na kipigo chake hakitaogepesha wengine bali kitawahamasisha.
Kuna vitu ukividhibiti ndio unaviongezea nguvu kuliko kama ungeviacha.
The best approach ilikuwa ni kuacha watu waimbe tu na si vinginevyo.
Muda utathibitisha.