Kilimo cha diesel kuwaokoa wakulima Tanzania

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,890
43,782
Kilimo cha mafuta ya diesel ni sekta mpya itakayoibuka hivi karibuni na kuleta ushindani mkubwa kwa waagizaji wa mafuta, kilimo hiki kinalipa kuliko korosho.
Wakulima wachangamkie fursa
 
WENZETU MBONA WANALIMA KITAMBO SANA..KUNA WAKATI NLIENDA KUTEMBEA BRAZIL NILIONA MIWA INAFANYIWA PROCESS KADHAA NA INAGEUZWA NA KUWA NISHATI....ILE MIWA BADAYE INAKUWA ETHANOL...

TEMBEA UONE#AISE

OVA
 
Mijatropha ilipigiwa chapuo mno kipindi flani... Ikachukuliwa ardhi coast region ikatwaliwa ardhi ya wananchi rukwa kule... But waaaapi...labda hii mpya nayo
 
Kilimo cha mafuta ya diesel ni sekta mpya itakayoibuka hivi karibuni na kuleta ushindani mkubwa kwa waagizaji wa mafuta, kilimo hiki kinalipa kuliko korosho.
Wakulima wachangamkie fursa
Diesel hailimwi ww isipokua kuna mimea inayotoa nishati ya kuweza kutumika ktk magari lkn sio diesel Brazil 92% ya magari yao yanatumia ethanol inayotokana na mimea
 
Back
Top Bottom