chew
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 229
- 142
Wana jamvi samahani kama ntakua nimewasilisha mada kwa jazba. Kiukweli hawa Airtel wananipa karaha pale unapompigigia mtu simu na badala ya kukwambia kwanza kama namba unayopiga haipatikani au inatumika, wanaanza na matangazo ...Tena marefu kweli.
Sioni kama ni vema kufanya hivyo, nashauri muanze kwanza kutujulisha kama namba haipatikani, au inatumika, then muanze hayo matangazo. Kitengo cha marketing naomba liangalieni hilo.
Sioni kama ni vema kufanya hivyo, nashauri muanze kwanza kutujulisha kama namba haipatikani, au inatumika, then muanze hayo matangazo. Kitengo cha marketing naomba liangalieni hilo.