Ukweli Utatuweka Huru

Ukweli haufichiki, na hata ukifichwa bado utamtesa mfichaji. Tahadhari kwa waficha ukweli: Huo ni ugonjwa wa kujitakia.

Ukweli una tabia ya kujificha na uongo huwa na mwendokasi lakini kupotea kama mwangwi upoteavyo na kubakisha maneno yatamkwayo.

Ukweli huenda taratibu na hujiyokeza baada ya muda mrefu kupita lakini haitoki masikini wala machoni.

Ndiyo sababu wanasema lenye ukweli uongo hujitenga.

Mpaka sasa hakuna aliye salama.
 
Back
Top Bottom