JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
DED Kiteto, nitawatumikia wananchi hadi mwisho
Tamimu Kambona, Ni mkurugenzi wa halm ya wilaya ya Kiteto anasema, amekuja kuwatumikia wananchi hivyo hawanabudi kumuunga mkono
amedai ukifika Kiteto yako,mambo AMA,vitu vinavyoonekana moja mwa moja ambavyo havihitaji kuelezewa, na akaongeza Kuna haja ya madiwani kueleza wananchi kinachoendelea ili wawe na imani na Serikali Yao..