Tahadhari: Tuwe makini sana hasa katika kipindi hiki kuelekea pasaka

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,464
24,318
Naona taasisi husika zipo kimya tu, hivyo kama mzalendo nimeonelea bora tupeane tahadhari sisi wenyewe kama raia wenye uoni wa mbali kwa kuzingatia hali ya uchumi ilivyo NGUMU, NGUMU, NGUMU kwa sasa.

N.B,
***
Ni vyema wafanyabiashara kwa ujumla wake hasa wale wenye mizunguko yenye hafueni au wale wanaohusika na mambo ya fedha moja kwa moja /kama Tigopesa M-PESA wakaongeza umakini zaidi na kwa wale ambao wapo pembezoni mwa jiji wakawa wanawahi kufunga mapema ofisi hizo ili kuepusha kuwavutia wahalifu wenye nia mbaya.

•TUWE MAKINI KWA UJUMLA.
 
Back
Top Bottom