moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 900
- 889
Habari JF, huu mtandao wa TIGO sasa imekuwa kama desturi kuseize kwa muda huduma zake na kubadili vifurushi bila taarifa. University ofa ya 1500 leo inatoa 10mbs kweli? Mna agenda gani na tunaoperuzi habari zao mara kwa mara?
Nina miaka 10 au 11 natumia huu mtandao ila nimewachoka. jua likitoka ntapanga foleni voda au airtel.
Nina miaka 10 au 11 natumia huu mtandao ila nimewachoka. jua likitoka ntapanga foleni voda au airtel.