Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi ...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Taasisi 1200 duniani zitampa aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Mhe. Edward Lowasa tuzo ya amani kutokana na utulivu aliouonyesha kabla na baada ya uchaguzi mkuu. Kama anastahili...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Baada tu ya majina ya wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya kuwekwa hadharani na mh.mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda kumeibuka tuhuma njingi sana dhidi yake ambazo hazina kichwa...
0 Reactions
5 Replies
901 Views
Tabia ovu na ukatili wa watu wazima, unaweza kuwa located kwa tabia zao katika maisha ya kawaida wakiwa katika ngazi za chini. Watu hawa hufurahia katika unyama na mateso kwa watu wengine...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa ( TAKUKURU ) mkoani Mwanza imemkamata mkazi wa nyakato national jijini Mwanza Simon Jumbe kwa kosa la kujifanya Mkurugenzi wa taasisi hiyo mkoani humo na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
MAPICHA YA Kutengeneza YA ADOBE Photo shop ya Ushoga. Siku hizi kama hujui watu wanaweza kukutengenezea mapicha ya Ushoga na ukaonekana kama shoga(unatolewa malinda). Kama hujui huu mchezo ukijua...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Msishangae wakuu, ikiwa mtu akaanza mada bila hata kutoa salamu. Habari zenu wakuu, Unajua ugumu wa maisha umetufanya tubuni mbinu mpya ya kujipatia ridhiki. Jamani jamani naomba niweke wazi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa huu unyama tunaoushudia mimi ndio maana siku zote huwa nashindwa ku-comment RIP watu fulani fulani wanapotangulia mbele za haki na kwakweli hizi comments binafsi huwa zina ni kera sana...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Mh Waziri katiba na sheria, nina kesi ya madai inayonikosesha raha katika mahakama ya Mwanzo ya mjini Morogoro. Case namba 374 ya madai ya mwaka 2013. Case hii ina umri wa miaka 4 sasa na huenda...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Nikiwa katika safari zangu Jijini Dar es Salaam nilikofika kwa shughuli za kibiashara, nimepita maeneo ya Leaders Club na kukuta makontena ya kampuni ya DSTV pamoja na...
11 Reactions
123 Replies
19K Views
Bi Madeline Albright Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa Marekani Ktk Utawala Wa Clinton Aliwahi Kuitembelea Korea Kaskazini Na Kukutana Na Rais Wa Kipindi Kile Hayati Kim Jong iL,baba Mzazi Wa Rais Wa Sasa...
3 Reactions
39 Replies
26K Views
Juzi nikiwa naangalia kipindi cha Skonga kupitia EATV nilishangazwa na uelewa wa wanafunzi wa Shule fulani sintoitaja ila ni ya secondary private, wakishindwa kujibu maswali rahisi kabisa...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Hawa watu nishakumbana nao sana, kwa wale ambao ni wageni basi unaweza kujikuta unaanza kutoa contact zako kwa uzuzu wa kuwa umepata rafiki wa mamtoni kumbe jitu unalo huko kwenye jiji la Makonda...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna Shida Kubwa ya abuse ya watumiaji wa Mitandao Na hawa watoe huduma siioni wakichukuliwa hatua yoyote Na TCRA Kwa nini? Jamani haya mashirika ya napokuja Tz yanafanywa yanavyotaka tofauti Na...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu... Hawa jamaa wa Tigopesa sasa wamegeuka jipu na wanahitaji utumbuaji wa dharura haiwezekani wakae na hela ya mteja kwa siku nne bila ridhaa ya mteja husika aliyokuwa anamtumia...
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Habari wanaJF Watuhumiwa 52 kati ya 61 wanaokabiliwa na kesi 15 tofauti za ugaidi wamegoma kufika Mahakamani Arusha, wadai upelelezi unatumia muda sana. Hakimu aahirisha kesi hadi April 25, 2017...
0 Reactions
1 Replies
45K Views
Mungu ni mwaminifu amefufuka kwa ajili yetu. atatuepusha na majanga yote. mimi naliombea taifa letu.
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Magezeti karibu yote ya siku ya leo tarehe 11/04/2017 katika kurasa za mbele yametawaliwa na habari kuu mbili ambazo ni kuhusu tishio la kutekwa kwa wabunge 11 na habari ya kutekwa kwa msanii Roma...
5 Reactions
65 Replies
10K Views
Kama kuna yoyote anayejua tofauti kati ya Mtekaji na Gaidi tafadhali anisaidie kuwajua ili niweze kujiandaa kama nikikumbana nao kwani huwezi jua kwa haya matukio yetu tunayoyaona hapa Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maisha ya Tz ni stress tupu Na tangu awamu hii ya 5 iingie madarakani stress ndo zimezidi Watu tukipunguza stress kwa kutupia Pombe za kwenye viroba ambazo tukizinunua kwa bei chee kuanzia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom