Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
MAPICHA YA Kutengeneza YA ADOBE Photo shop ya Ushoga.
Siku hizi kama hujui watu wanaweza kukutengenezea mapicha ya Ushoga na ukaonekana kama shoga(unatolewa malinda). Kama hujui huu mchezo ukijua unadhalilishwa hivyo na huku sio shoga unaweza jiua.
Watanzania sasa hivi mtu akikuletea mapicha ya Adobe ya Ushoga mtandike bakora, maana hata wewe anaweza kukutengenezea ukaonekana Shoga (mtu anayefanya mapenzi ya jinsia moja), hii program ukiijua tafazali usimtengenezee mwenzio ili kumuadhirisha. Mara nyingi michezo hii inafanywa na wanasiasa ili kuvunjiana heshima na mahusiano. Wanachofanya wanachukua kichwa chako kutoka kwenye picha yako wanakiweka kwa mtu anayetolewa malinda(anashogesha) na kuonekana kama ni wewe.
Kama unajua hii michezo wewe potezea kama hujui. Ila kama wewe ni maarufu wafungue ndugu zako bado mapema ili wakiletewa hayo mapicha wasishangae bali wayapuuze.
Mjulishe na mwenzio.
Deogratius N Kisandu.