Hivi ndivyo matapeli wa facebook wanavyokuingia

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,644
Hawa watu nishakumbana nao sana, kwa wale ambao ni wageni basi unaweza kujikuta unaanza kutoa contact zako kwa uzuzu wa kuwa umepata rafiki wa mamtoni kumbe jitu unalo huko kwenye jiji la Makonda na Gwajima.
NB: Baada tu ya kunitumia hiyo sms,msema kweli ni mpenzi wa mungu, nimeporomosha matusi hapo chini hata mwalimu wenu wa instagram Mange Kimambi hafui dafu
56259f1b6c36a0a3043b122cfbd8d905.jpg
 
Halafu wamekariri meseji, niliwahi kumuuliza mmoja kwamba hivi hamna ujanja mwingine wa kumwibia mtu zaidi ya hizi meseji za kucopy? ( kwa kidhungu lkn,) sitaki nikiandike maana sio kipaumbele sana, tunamuunga mkono mkulu
 
Sawa ndiyo uliandika kivyako: kwa kizungu, sasa si utuandikie hapa jinsi ulivyoandika hicho kizungu kuwajibu hao matapeli?
 
Halafu wamekariri meseji, niliwahi kumuuliza mmoja kwamba hivi hamna ujanja mwingine wa kumwibia mtu zaidi ya hizi meseji za kucopy? ( kwa kidhungu lkn,) sitaki nikiandike maana sio kipaumbele sana, tunamuunga mkono mkulu
Teh teh teh teh teh sasa ishakuwa kisingizio cha kumuunga mkono mkulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom