Rosemarym Mwakitwange
Member
- Sep 10, 2016
- 63
- 170
Kuna Shida Kubwa ya abuse ya watumiaji wa Mitandao Na hawa watoe huduma siioni wakichukuliwa hatua yoyote Na TCRA Kwa nini?
Jamani haya mashirika ya napokuja Tz yanafanywa yanavyotaka tofauti Na wanavyofanya nchi nyingine.
Kwa mfano, leo ni siku ya Tatu Wakati wowote Simu zinazima, huwezi kupiga, kupokea, kutuma msg wala ku access tigo pesa. Unakimbilia ofisini Kwao wanakwambia subiri Mtandao uko chini, jana noise irk for 4 hrs, wakarekebsha ikiwemo kunipa SIM card Mpya, ndani ya saa moja tatizo lilijiruida nikaenda Tena ofisi zao this time Kibo complex, same issue Na Mtandao Kuwa chini nikaambiwa nikasubiria Nyumbani, maana tatizo Hilo sio Kwangu tu, easy, mpaka sasa sina Mawasiliano nasubiri kuche niende ofisini Kwao.
My question, ni Nani anayetulinda sisi toka kwenye Uhuni Huu? Tigo ana mkataba na sisi kutupa huduma ya kiwango fulani, hatoi na mpaka sasa sijaona popote wanapotueleza kinachoendelea wala popote TCRA wanapohoji inamaana hawa TCRA ni mambumbumbu kiasi hiki?
Nani anayelipia usumbufu, hasara Na Mauthi Yetu? Nimepiti magazeti yote, Mitamdao Na hata mataifa of ya tv asubuhi hii hakuna statement ya tigo wala TCRA, Ishara ya Kwamba tigo wanatujua watanzania, Na TCRA Kwao ni business as usual hata pale ambapo wangeweza kujioatia heshima Kidogo.
Kama TCRA kuna acumen hata Kidogo ya biashara ya kutushawishi Kuwa wanaijua kinachowapeleka ofisini kila siku, watueleze, Kama wako Kama ninavyofikiri basi...