ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Juzi nikiwa naangalia kipindi cha Skonga kupitia EATV nilishangazwa na uelewa wa wanafunzi wa Shule fulani sintoitaja ila ni ya secondary private, wakishindwa kujibu maswali rahisi kabisa kulingana na level waliopo.
Mfano waliulizwa kama wanapafahamu TAZARA, wengi wakaema wanapafahamu wakaulizwa mnafahamu nini juu ya TAZARA, na TAZARA ni nini?
Hakuna aliyejibu walisema hawajui na hawa ni wanafunzi wa Pre Form Five
mimi nikamuuliza mwanangu wa kike tuliyekua tukiangalia tv anayesoma Anlex English medium Kijichi darasa la saba nawe hujui swali hili? Akanambia najua akalijibu kwa ufasaha.
Nimepata maswali mengi juu ya Elimu yetu Tanzania tatizo ni msingi? Tatizo shule hizi au tatizo walimu na maslahi yao? Ningeshauri Wizara husika izifuatilie shule zetu performance zao iwe private au serikali kwa jicho la ukaribu, hii no hatari kwa kizazi kijacho.