Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Maisha ya Tz ni stress tupu
Na tangu awamu hii ya 5 iingie madarakani stress ndo zimezidi
Watu tukipunguza stress kwa kutupia Pombe za kwenye viroba ambazo tukizinunua kwa bei chee kuanzia 400-1000 ukiwa na buku 2 Yako unajitupia unasahau stress za utawala wa Magu
Sasa kitendo cha serikali kuzuia viroba ili tunywe bia sio Haki kabisa
Pesa zenyewe zimebanwa tutapata wapi pesa ya kunywea Castle, Safari,Ndovu
Bia za bei rahisi kama Senetor,Eagle,Plisner ukinywa unachelewa kulewa so inahitaji pesa ya kutosha ulewe
Na pesa yenyewe ndo hivyo imebanwa
Tafadhali serikali rudisheni Viroba watu tutakufa kwa stress huku na kupunguza nguvu kazi.