Mambo Usiyoyajua Kuhusu Rais Wa Korea Kaskazini

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Rais Wa Korea Kaskazini

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Bi Madeline Albright Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa Marekani Ktk Utawala Wa Clinton Aliwahi Kuitembelea Korea Kaskazini Na Kukutana Na Rais Wa Kipindi Kile Hayati Kim Jong iL,baba Mzazi Wa Rais Wa Sasa Kim Jong Un,rais Kijana Kuliko Wote Duniani Kwa Sasa,bi Madeline Alisema Kim Jong iL Alipendelea Sana Kula Nyama Ya Punda Na Kunyoa Panki,ni Rais Katili Asiye Na Huruma Hata Chembe,na Sasa Mwanae Rais Kim Jong Un Kafuata Nyayo Za Baba Yake,naye Hupenda Kunyoa Panki,kula Nyama Ya Punda,na Pia Anaua Wapinzani Wake,aliamuru Mjomba Wake Auawe Kikatili Kwa Kushambuliwa Na Kundi Kubwa La Mbwa Wenye Njaa Kali,inasemekana %60 Ya Bajeti Ya Nchi Hiyo Inaenda Jeshini Yote,korea Kaskazini Ni Taifa Maskini Sana Ukilinganisha Na Korea Kusini Ambao Uchumi Wao Upo Imara Sana,kama Alivyokuwa Baba Yake,kim Jong Un Pia Ni Muoga Sana Kusafiri Nje Ya Nchi Yake Kwa Sababu Ya Kuhofia Usalama Wake,raia Wa Taifa Hilo Hawaruhusiwi Kufanya Mawasiliano Ya Simu Au Email Nje Ya Nchi Yao ,mshirika Mkubwa Wa Taifa Hilo Ni China Na Urusi.
 
Umejuaje kuwa hayo hatuyajui?
 
kwani huyo Adeline Albright alipoacha siasa ameenda kuwa mpishi wa Kim?ni sawa na mgeni nimkaribishe home kwangu na siku hiyo akute pilau kuku then aondoke na aseme mi napenda kula pilau kuku.......!anashindwa kuelewa kuwa huo msosi labda ulikuwa kwa ajili yake tu.........!hivi maendeleo ya technology ktk jeshi la US wanataka kutuaminisha wao bajeti yao pungufu ya asilimia hamsini?
 
Maelezo yako 90% ni uongo!! Tupe sources, ni taifa masikini???????

Upo Dunia Gani Wewe Hujui Hata Mataifa Yalivyo? Kwa Hiyo Siku Zote Unadhani Kuwa Korea Kaskazini Ni Tajiri? Tajiri Ni Korea Kusini,kama Huwa Hujitesi Kujisomea Magazeti Ya Kimataifa Na Vitabu Wala Sitahangaika Kukupa Source,kwa Mfano Ulijuaje Kuwa Obama Ana Asili Ya Kenya? Uliambiwa Au Ulisoma Sehemu,au Uliona Taarifa Ya Habari Au Ulisikia Story Kijiweni? Ulijuaje Kuwa US Ni Taifa Kubwa? Kijiweni? Na Mengine Mengi Tu,kwa Hiyo Source Ni Mimi Mwenyewe.
 
#kim_jong_un na wakorea wengi tu wapo fb kama kawa!/pia ni rafiki wa kila mtu

Tofautisha Mkuu,wakorea Unaowaona Facebook Ni Wa Kusini Siyo Kaskazini,kaskazini Huwezi Kuwaona,maana Serikali Ile Ya Kidikteka Inaogopa Ujasusi Wa Kimataifa,utambue Hilo.
 
Sifa zake zaidi zimefunuliwa vizuri zaidi katika movie inaitwa Interview
 
Niliishi soul korea kusini yaani anayosema jamaa kweli tupu!! Niliishi uko wakati nasoma mambo ya itifaki na usalama wa viongozi wakubwa kabla awajakorofishana ukiambiwa plactical kaskazini unaogopa
 
Back
Top Bottom