TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,295
Habari zenu wakuu...
Hawa jamaa wa Tigopesa sasa wamegeuka jipu na wanahitaji utumbuaji wa dharura haiwezekani wakae na hela ya mteja kwa siku nne bila ridhaa ya mteja husika aliyokuwa anamtumia mtu pasipo kujua huyo aliyekua anatumiwa alikua kwenye mkwamo gani matokeo yake wanakwambia pesa itarudi baada ya siku tatu.
Huu ni wizi wa uaminifu ina maana pesa zetu mnazifanyia biashara kinguvu tunaomba vyombo husika watusaidie wahanga kwa hili ikiwezekana kuwe na kama wameshindwa kutoa huduma hii basi watafute kazi nyingine maana kwa sasa mtandao huu umegeuka mtandio nihayo tu wakuu.