Tuzo ya Amani

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
49b0f13f6455546bcee3f36e4973ee7d.jpg


Taasisi 1200 duniani zitampa aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Mhe. Edward Lowasa tuzo ya amani kutokana na utulivu aliouonyesha kabla na baada ya uchaguzi mkuu.

Kama anastahili kupata tuzo hizo sema NDIO
Na kama hastahili kupata tuzo hizo sema HAPANA na utoe na sababu

Source: Mtandaoni
 
Wampe tu maana alichotufanyia makamanda ni kizuri mno. Hakuna tena kufa mtu kwenye maandamano.
 
Back
Top Bottom