Kalam mpya
Member
- Mar 30, 2017
- 84
- 76
Mh Waziri katiba na sheria, nina kesi ya madai inayonikosesha raha katika mahakama ya Mwanzo ya mjini Morogoro.
Case namba 374 ya madai ya mwaka 2013. Case hii ina umri wa miaka 4 sasa na huenda isiishe mpaka 2030. Mpaka mahakimu wanaosimamia kesi hio watakapoona sasa tumechoka kula pesa katika kesi hii.
Kesi ilikuja na madai ya tsh 984,000. Kati hapo mahakama iliamuru alipwe ikaanzwa kulipwa lakini baadae mahakama ikaamuru ikamatwe bajaji, lakini baada ya siku chache mdai alikuja na kusema bajaji ameuza tsh 250,000. Hivyo haitoshi. Mahakama ikaleta hati ya hukumu ya gharama ya tsh 984,000 upya.
Jambo ambalo limenitia shaka na juu ya hukumu hio.
Cha ajabu tumeandika barua zaidi ya 3 tukiiomba mahakama kutoa nakala ya hukumu haitaki kutoa mpaka sasa.
Juzi wametishia tena kuniweka ndani ikiwa sitalipa pesa za deni.
Ndug Waziri wa Sheria na Katiba hapa naumia kiasi cha kukosa hamu hata ya kula.
Nisaidie.