Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salute!, Kwanza naomba ieleweke kuwa freemason sio Dini. Sir Chande aliefariki na kufanyiwa maziko kulingana na Dini ya kihindu wengine wanaita Banian, alikuwa ni muumin wa dini hio ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sote tunafahamu ya kwamba hapo kale mababu na mabibi zetu wa kipindi hicho hawakuwa na tamaduni ya kuvaa nguo. Zipo nadharia nyingi ambazo hueleza kwanini watu hao wa kale wahakuwa wakivaa nguo...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Mtajwa hapo juu alitoa Album ya gospel yenye jina FURAHA YA BWANA. Album hii ilitoka kati ya mwaka 2007/2008. It is one of the most best gospel albums of all the time...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi mwanzo nilidhani mdoli kuja kuona picha zaidi ndio nikajua ni binadamu jamani hata hapa nashindwa kujua ni mtoto au mkubwa ,sijui walioatwa na nini ,,,nimeona hadi kapiga picha na raisi wa SA...
7 Reactions
68 Replies
13K Views
Pamoja na maneno mengi juu ya Police, kuna Police wengi sana Tanzania wanayofanya Majukumu yao kwa weledi na kulinda Maslahi ya wananchi kwa kufuata taratibu za nchi .... Hebu tupia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Dar Simon Sirro amemkamata askari feki aliyekuwa amevaa uniform za kakaake na kujifanya polisi, Mtuhumiwa huyo aitwae Paulo Baruti wa Mpanda Katavi alisema nguo hizo ni za...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Nilituma maombi ya kazi hapo tbl ilikuwa tarehe 13/03/2017 katika category ya IT, sasa leo saizi kuna jamaa kanipigia na kuelezea application yangu na kunitaka nitume 25,000/=TSH kwamba...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kila nikitazama ulimwengu ninaona tuna deni kubwa sana kwa Mungu wetu. Tuliopewa uwakili wa kuisimamia ardhi, wanyama, mimea, ndege, bahari pamoja na kila kitambaacho ardhini tumekwenda tofauti...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Mazishi ya mkuu Sir Andy chande (88 years) aliyefariki huko Nairobi Kenya yanatarajiwa kufanyika Jumanne ijayo kwa mwili wake kuchomwa moto mpaka kuteketea wote (cremation.) Wageni zaidi ya 300...
19 Reactions
203 Replies
42K Views
Kwa haya nitakayoyaandika hapa simlazimishi Mtu yoyote akubaliane nayo japo ningependa mtulize akili zenu kiumakini kabisa ili muweze kupima kisha mwishoni tunaweza kuelewana lakini pia nitafurahi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Huko tuelekeako kuna dalili za kuzaliwa upya kwa jiji la Dar-es-Salaam na kuwa jiji linalostahiki hadhi yake kwamba ni jiji la maraha na linaloheshimika katika ukanda huu wa Afrika Mashariki...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi ni kijana umri miaka 21 ,nimemaliza kidato cha sita mwaka jana ila matokeo hayakuwa vizuri nilikosa credit moja kuwa nA kigezo cha kusoma degree. Hivyo nilijiunga kusoma diploma ya IT chuo...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Uhalifu wowote ili utokee ni lazima pande tatu zihusike nazo ni Mhalifu, Mfanyiwa uhalifu, na Fursa ya kuruhusu uhalifu kufanyika. Hivyo watekaji wopo na watekwaji wapo na hakuna nanma ya kundoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamiiforums wote ninaimani mpo na afya njema na hatunabudi kumshukuru mungu kwa hilo. Leo nimelileta swali jipya kabisa kwa wabongo wanaoishi au walishawai kufika/kuishi...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Hivi kweli logically tu Mtu unaweza ukawa umepatwa na mateso ya karibia na kuuliwa pengine yaliyoambatana na ' ufirauni ' mwingine halafu ukakosa nguvu na ukawa hujiwezi kabisa na huku damu...
12 Reactions
102 Replies
9K Views
Ripoti ya faru john mnyama aliyethaminiwa na serikali baada ya kufa mpaka kutishia ajira za watu imetoka na inaonesha amekufa kwa kukosa matibabu,kukosa matibabu?wakati alikuwa anaiingizia mamlaka...
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Habari za majukumu wana jukwaa! Nina huhitaji sana wa kitabu tajwa hapo juu. Mwenye nacho au mwenye kujua naweza kipata wapi anijuze. Asanteni kwa msaada in advance.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimekutana nayo kwenye group moja la whatsap. Wadau please tusaidiane kutangaza, tena ukizingatia enzi hizi za Baba Bashite. Kwa details zaidi soma ujumbe kutoka kwa mdau mwenyewe. Mbarikiwe...
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Ndg wanajamvi, amani iwe juu yenu,... Tumeingia wiki ya pili sasa, kwenye headlines za magazeti na mitandao ya jamii, Mada inayoongelewa kwa upana mkubwa ni "kutekwa kwa Roma Mkatoliki" Hizi ni...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Njia hizi zimevikwa vazi la dini nazo ni a. Ndoto b. Maono c. Miujiza UFUATAO NI MCHANGANUO WAKE A. NDOTO JINSI ZINAVYOTUMIKA KUTEKA NYARA WATU; Baadhi ya watu wanaodai kuwa Watumishi wa Mungu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom