Kulikoni Gazeti la Uhuru la siku ya leo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,918
Magezeti karibu yote ya siku ya leo tarehe 11/04/2017 katika kurasa za mbele yametawaliwa na habari kuu mbili ambazo ni kuhusu tishio la kutekwa kwa wabunge 11 na habari ya kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.

Hata hivyo,katika magazeti yote ya kila siku niliyoyaona ni gazeti la Uhuru tu ndio ambalo halijaripoti habari yoyote kati ya hizo habari kuu mbili za leo.

Sasa sijui pamoja na uwepo wa Waziri wa Habari na Utamaduni uwepo huo nao bado si issue!

Anyway,wanajua wenyewe.

Kingine nilichogundua ni picha ya waziri Mwakyemba na hata alichokisema kupotezewa na magazei mengi katika kurasa hizo za mbele isipokuwa gazeti la Majira tu ndio limeonyesha uwepo wake katika magazeti niliyoyaona.
 
Hakuna watu wa biashara pale Habari ni Biashara We Umeiacha habari ya Bashe Leo utauza Gazeti CCM yenyewe inatakiwa ifukuze hao watu Gazeti linajiendesha Kihasara kumbuka lenyewe halimo katika bili za Yale Magazeti yanayotawanywa Ofisini pia.
 
Magezeti karibu yote ya siku ya leo tarehe 11/04/2017 katika kurasa za mbele yametawaliwa na habari kuu mbili ambazo ni kuhusu tishio la kutekwa kwa wabunge 11 na habari ya kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.

Hata hivyo,katika magazeti yote ya kila siku niliyoyaona ni gazeti la Uhuru tu ndio ambalo halijaripoti habari yoyote kati ya hizo habari kuu mbili za leo.

Sasa sijui pamoja na uwepo wa Waziri wa Habari na Utamaduni uwepo huo nao bado si issue!

Anyway,wanajua wenyewe.
Kila media ina editorial policy yake ya what is news and what is not news, hivyo wako very right kama ilivyo what is news kwako is not necessary what is news to me!.

Kwa mfano japo Bashe na Nape ni makada wa CCM, hata wamefanye jambo kubwa kiasi gani, usitegemee kuwaona front ya Uhuru!.

Paskali
 
Hilo gazeti leo haliuziki.
 
Kila media ina editorial policy yake ya what is news and what is not news, hivyo wako very right kama ilivyo what is news kwako is not necessary what is news to me!.

Paskali
Mkuu upo sahihi kabisa na wala sipingani na wewe! Ila ukweli lazima usemwe kwasababu hilo gazeti wanatumia kodi zetu kuliendesha na kulipana mishahara sasa kama linakuwa halina tija ni bora wakalifutia mbali.
 
Kila media ina editorial policy yake ya what is news and what is not news, hivyo wako very right kama ilivyo what is news kwako is not necessary what is news to me!.

Kwa mfano japo Bashe na Nape ni makada wa CCM, hata wamefanye jambo kubwa kiasi gani, usitegemee kuwaona front ya Uhuru!.

Paskali
But Paskali, Beauty is not a concept, but generally, a beautiful thing is appreciated by many! Sasa hiyo editorial policy iki differ with the rest of the world, then a sensible man will doubt you and your gazeti! Kila Mtanzania mwenye akili atakushangaa!.... by Lisu
 
Kila media ina editorial policy yake ya what is news and what is not news, hivyo wako very right kama ilivyo what is news kwako is not necessary what is news to me!.

Kwa mfano japo Bashe na Nape ni makada wa CCM, hata wamefanye jambo kubwa kiasi gani, usitegemee kuwaona front ya Uhuru!.

Paskali
Hapana Pascal Mi nakuaona wewe ni kati ya watu ambao IQ zao zimeshuka sana

Mimi ni Muhasibu nafahamu Habari ni Commodity hakuna Media inayofanya kwa kujifurahisha Front page za current issue kama ya Bashe inauza zaidi kuliko Kuandika Habari za kumsifu Mkemia.

Kweli wanakua na Policy ambazo zina create Loss huku wakitegemea subsidies kutoka kwenye chama

Narudia Habari ni Bidhaa ikiwa mbaya hainunuliki Siku hizi Gazeti la Mwananchi Ikifika Saa 6 Mchana linakua limeisha katika meza nyingi za Kuzia Magazeti.

Nimechambua Mimi nisiye na Elimu ya Habari.
 
Magezeti karibu yote ya siku ya leo tarehe 11/04/2017 katika kurasa za mbele yametawaliwa na habari kuu mbili ambazo ni kuhusu tishio la kutekwa kwa wabunge 11 na habari ya kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.

Hata hivyo,katika magazeti yote ya kila siku niliyoyaona ni gazeti la Uhuru tu ndio ambalo halijaripoti habari yoyote kati ya hizo habari kuu mbili za leo.

Sasa sijui pamoja na uwepo wa Waziri wa Habari na Utamaduni uwepo huo nao bado si issue!

Anyway,wanajua wenyewe.

Kingine nilichogundua ni picha ya waziri Mwakyemba na hata alichokisema kupotezewa na magazei mengi katika kurasa hizo za mbele isipokuwa gazeti la Majira tu ndio limeonyesha uwepo wake katika magazeti niliyoyaona.

Bora upoteze muda kwa kucheza na mtoto kuliko kusoma gazeti la Uhuru
 
Hapana Pascal Mi nakuaona Ni watu ambao IQ zao zimeshuka sana

Mimi ni Muhasibu nafahamu Habari ni Commodity hakuna Media inayofanya kwa kujifurahisha Front page za current issue kama ya Bashe inauza zaidi kuliko Kuandika Habari za kumsifu Mkemia.

Kweli wanakua na Policy ambazo zina create Loss huku wakitegemea subsidies kutoka kwenye chama

Narudia Habari ni Bidhaa ikiwa mbaya hainunuliki Siku hizi Gazeti la Mwananchi Ikifika Saa 6 Mchana linakua limeisha katika meza nyingi za Kuzia Magazeti.

Nimechambua Mimi nisiye na Elimu ya Habari.
Tangu lini Uhuru wanafanya biashara? .
Paskali
 
napenda mnapojadili kitu au mtu msiyempenda aiseee
 
Attachments

  • d42d8042eb784524233de03199a37280.jpg
    22.4 KB · Views: 60
Ulitarajia nini? Huyo mhariri aongee e habari inayomhusu Toshiba atapona?
 
Back
Top Bottom