Nimekutana nayo kwenye group moja la whatsap. Wadau please tusaidiane kutangaza, tena ukizingatia enzi hizi za Baba Bashite.
Kwa details zaidi soma ujumbe kutoka kwa mdau mwenyewe.
Mbarikiwe...
Ndg wanajamvi, amani iwe juu yenu,...
Tumeingia wiki ya pili sasa, kwenye headlines za magazeti na mitandao ya jamii, Mada inayoongelewa kwa upana mkubwa ni "kutekwa kwa Roma Mkatoliki"
Hizi ni...
Njia hizi zimevikwa vazi la dini nazo ni
a. Ndoto
b. Maono
c. Miujiza
UFUATAO NI MCHANGANUO WAKE
A. NDOTO JINSI ZINAVYOTUMIKA KUTEKA NYARA WATU;
Baadhi ya watu wanaodai kuwa Watumishi wa Mungu...
Jana Jumanne Aprili 11, 2017 Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga ametoa tamko lililoambatishwa kwa vyombo vya habari kuhusiana na matukio ya...
Leo ilikuwa ni siku ya kuwa wazi kile kilichomkuta msanii Roma na ikaelezwa saa 8 ndio atakutana na wanahabari. Lakini waziri amevamia mkutano huu na ni wazi kabisa Roma kabanwa asipate muda...
Wakuu
Mimi nauliza utaratibu ukoje Kwa mtu binafsi akitaka kulindwa na polisi nyumbani kwake.
Je kuna gharama zozote ambazo itanibidi nilipie?
Au ni nani mwenye mamlaka ya kunipa huo ulinzi wa...
Mahakama ya mkazi Kisutu leo inatarajiwa kutoa uamuzi leo iwapo Watanzania watatu akiwemo Ally Khatibu Haji maarufu kama Shikuba - wanaotuhumiwa kwa kujihusisha na biashara dawa za kulevya...
Watanzania wameanza kudai sana risiti baada ya wito wa Rais n.k
but
Raha mustarehe kwa wafanya biashara wamelazimishwa kuwa na mashineeee
Wamekuwa nazo baadhi yao lakini
Sasa kimbembe kwa...
Serikali yeyote inayopigana na vyombo vya habari inapigana na RAIA au wananchi!
Kazi kubwa aliyonayo Dr Mwakyembe ni kuongoza vita hiyo bila yeye kujulikana msimamo wake! Analazimika kuvaa sura...
Wana Kigamboni kuna ajali ya moto Ferry maduka ya scaba scuba yanaungua moto.
Kuna moto unawaka kwenye nyumba yenye Maduja mengi maeneo ya Ferry karibu na kituo cha mafuta cha Kobil.
Fire wapo...
Utawala uliofitinika unajivua nguo mbele ya wananchi Na hakuna litakalositirika tena:
~ Watanzania hawakuwahi kukifahamu chama cha mawakili Tanganyika (TLS), sasa wamekifahamu vema na Rais wake...
Habari za asubuhi wadau:
Kuna huu Ujumbe ninaoupata katika kifaa changu ninapofungua Mtandao wa Jamii forums ningeomba kupatiwa ufafanuzi kuwa ni kwa computer yangu tu au simu yangu tu au hata...
Licha ya kuwepo kwa mgogoro wa umiliki wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi, serikali imesema uhusiano wa nchi hizo kwa sasa ni mzuri kuliko wakati wowote na kwamba hatua ya kukamilika kwa...
Wakuu
Kipindi kifupi cha nyuma tulishuhudia ikianzishwa kampeni ya kupambana na kutokomeza dawa za kulevya kabisa hapa nchi, kampeni hii awali ilianzishwa na kusimamiwa mkuu wa mkoa wa Dar
Lakini...
Habari Tanzania.......
Leo ni kilele cha maadhimisho ya hayati waziri mkuu Edward Moringe Sokoine hapa chuoni SUA, ambapo maadhisho hayo yalianza mnamo tarehe 11 na leo ndo kilele cha siku ya...
Mimi binafsi na wasikilizaji wengine wa CMG hususani Clouds FM tuliimisi sana sauti ya camarade Luambano, najua kusaga na ruge hawakosi kupita JF daily ndo maana kilio chetu mkakisikia ...
Muda si mrefu itv wametoka kurusha habari inayohusu madawa ya kulevya,mhusika ni someone skuba,huyu mtu hata picha hawajaonesha zaidi ya majengo ya mahakama ya kisutu,hivi ni nini huyu mtu ni...
Salamu kwenu, Niende kwenye dhumuni kuu la uzi huu. Kuna tabia inataka kuidhijishwa na viongozi wetu ambao kipindi cha kuomba kura huwa wanyenyekevu kweli kuficha maovu yao ila pindi wachaguliwapo...
Habari za kuisoma no. Wapendwa
Nilichojifunza ni kuwa kuna watu wamekuwa 'disappointed' sana na inaonyesha bayana kuwa huenda toka mwanzo shida yao haikuwa uhai wa Roma.
Japo mwanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.