Heshima kwenu wakuu,
Usiku wa kuamkia leo, Polisi Mjini Makambako wameua Jambazi baada ya kurushiana risasi.
Polisi wa Doria walipata taarifa kwamba majambazi wanataka kuiba katika kituo cha...
Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe anataka aoelewe na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko (23). Imeelezwa kuwa wawili hao wako kwenye mapenzi makali na hivyo kuamua kuupeleka...
Je, mwili wa binadamu kuchomwa moto Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na hicho kitendo.
Mwili ukishachomwa majivu yanapelekwa wapi kwa taratibu na mila zetu mtu akipata ajali...
Naona tangu jana hakuna hata anayelaani mauaji ya walioitwa majambazi jana si raia wala si media wala si viongozi wa kisiasa na dini.
Polisi hana mamlaka wala reseni ya kutoa uhai wa mtu.
Pia...
Juzi nilikuwa ninapita barabara ya Mandela, Dar es salaam. Foleni ilikuwa kubwa sana majira ya saa 6-7. Nilivyofika maeneo ya Tabata nikaamua kupita ile njia ya kushoto nikatokee Msimbazi Centre...
Anaandika Malisa Godlisten
Juzi Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mhe.Freeman Mbowe aliwasilisha hoja kujadili hali ya usalama wa nchi kuzorota, kufuatia matukio ya utekaji, utesaji na mauaji...
KIJANA WA MIAKA 15 APIGWA RISASI NA KUPOTEZA MAISHA NA ASKARI WA SUMA JKT WANAOLINDA MSITU WA MERU OLMOTONY NGARAMTONI WILAYANI ARUMERU
Maandamano ya wananchi wa Kijiji cha Lenjani Kata ya...
Rais wetu tunaomba ulitazame hili kwa jicho pevu. Nakuunga mkono 100% kwa juhudi unazofanya kujenga viwanda, Reli (Standard Gauge, kuziba mianya ya rushwa, kuthibiti mchanga wa madini...
Ndugu watanzania wenzangu kama mnavyojua hakuna mtu aliyejuu ya sheria lakini cha ajabu ndugu DAUDI ALBERT BASHITE anakabiliwa na tuhuma zisizopungua 4 lakini hadi leo bado yuko ofisini. Je...
Story ya mbuzi wa dar kuzurula na kuvuka wenyewe kwenye zebra imeandaliwa na bbc na kurushwa na bbc asubuhi ya leo tarehe 13/04/2017. Lakini kwenye amplifaya ya clouds na huyu dada plus milard ayo...
Inakuaje polisi aliemaliza lindo anauwawa....nnachokiona hapa ni visasi vya mda mrefu. Either kati ya jeshi la polisi na majambazi au watu wwte wasiopenda uwepo wa jeshi la polisi ama kwa kuwa...
President awe Mwigulu Nchemba
Vice President awe Dkt. Harrison Mwakyembe
Prime Minister awe Paul Christian Makonda
Kwangu Mimi naona kama vile nchi itapiga sana hatua ya kimaendeleo hadi...
Mods naomba musiunganishe huu uzi na wa majina ya walimu wa ajira mpya! hapa naomba iwe sehemu ya walimu wenyeji kuwakaribisha wageni, ikiwezekana na kuwapa A, B, C za shule wanazoenda kufundisha...
Habari wakuu..!
Mtu unapokuwa Na jeraha, jipu au kidonda kwa kawaida huwa Kuna maumivu wakati wa mwanzo wa kitu hicho,.( kuanzia hatua ya kwanza kuelekea kupona)
Binafsi sipendi kuwa Na vitu...
Binafsi nimewahi kushuhudia KIPAPAI KIZITO SANA....... nakumbuka wakati tupo Nyansaka-Mwanza kunadogo mmoja aliiba maembe ya bibi mmoja ambaye alikuwa anaogopwa kata nzima kwa ajiri ya natural...
Rais kazinɗua ujenzi reli ya treni za umeme wazazi wenye hela hata kama hamna hela kopeni pelekeni watoto nje kusomea uenɗeshaji na ufunɗi wa treni za umeme ili mraɗi ukiƙamilika mshike...
Habari wanajamvi,
Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu
Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa...
Ni baada ya kuwekwa kwenye kila bajeti toka mwaka 2013/2014 hadi mwaka 2016/2017 pasipo mafanikio. Nina imani sasa hii barabara siyo kwamba itaegeshwa tena kama miaka mingine iliyopita. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.