shiite
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 313
- 298
Mods naomba musiunganishe huu uzi na wa majina ya walimu wa ajira mpya! hapa naomba iwe sehemu ya walimu wenyeji kuwakaribisha wageni, ikiwezekana na kuwapa A, B, C za shule wanazoenda kufundisha. Naomba mwalim mwenyeji ukomenti shule yako na mawasiliano yako au utoe maelezo kidogo ya kata na shule na kama utaweza kutoa mawasiliano ya mwalim unayemjua shule fulani hasa mkuu wa shule au msaidizi wake! Naanza na waliopangiwa wilaya ya kilosa-morogoro, ukipenda tuwasiliane kuna walim wa shule mbalimbali nawafahamu, ninaweza kukuunganisha nao au nitakupa brief ya shule unayoenda na mambo mengineyo. Karibuni ktk kulea watoto 0756 516360