Omukitwe
Member
- Mar 29, 2016
- 91
- 91
Story ya mbuzi wa dar kuzurula na kuvuka wenyewe kwenye zebra imeandaliwa na bbc na kurushwa na bbc asubuhi ya leo tarehe 13/04/2017. Lakini kwenye amplifaya ya clouds na huyu dada plus milard ayo wanatoa hii habari na kudanganya kuwa kuna ripota wao ndo kaandaa hii habari wakati ni yule wa bbc ndo kaandaa. Wanashindwa nn kufanya reference kwa bbc na ku appriciate kuwa hiyo si habari yao bali ni ya bbc? Hapa wameniboa haswa.