Mama anataka kuolewa na mwanaye wa kumzaa

Nov 13, 2015
34
37
Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe anataka aoelewe na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko (23). Imeelezwa kuwa wawili hao wako kwenye mapenzi makali na hivyo kuamua kuupeleka uhusiano wao kwenye level nyingine ya ndoa huku tayari mama huyo akiwa na ujauzito wa miezi sita aliopewa na mwanae.

Embu tuambie, unadhani dunia inaelekea wapi?
a13b136d1d33b17ae21ab6e52609aa65.jpg
 
biblia inasema hapo mwanzo alikuepo adam akaumbwa eva wakamzaa kain na ndunguze kain wakazaliana wenyew na nduguze
 
Kweli ndiyo maana wanasema biblia haipitwi na wakati tazama wana wa Lutu walichofanya na baba yao...Fungua biblia Mwanzo 19:34 nakuendelea inasema, Ikawa kwamba kesho yake mzaliwa wa kwanza akamwambia yule mdogo: “Haya, mimi nililala na baba yangu usiku wa jana. Tumpe divai anywe usiku wa leo pia. Kisha wewe uingie ndani ulale naye, ili tuhifadhi uzao kutoka kwa baba yetu.”Hakika hakuna jipya chini ya jua yote yalifanywa zamani na hakika huu ni uchokozi mkubwa sana kwa Baba yetu alie juu..
 
Hii stori naona ilishawahi kuwekwa humu miaka michache iliyopita! Hata hivyo, Mkoa wa Ruvuma kulikuwa na tukio kama hili.
 
Kweli ndiyo maana wanasema biblia haipitwi na wakati tazama wana wa Lutu walichofanya na baba yao...Fungua biblia Mwanzo 19:34 nakuendelea inasema, Ikawa kwamba kesho yake mzaliwa wa kwanza akamwambia yule mdogo: “Haya, mimi nililala na baba yangu usiku wa jana. Tumpe divai anywe usiku wa leo pia. Kisha wewe uingie ndani ulale naye, ili tuhifadhi uzao kutoka kwa baba yetu.”Hakika hakuna jipya chini ya jua yote yalifanywa zamani na hakika huu ni uchokozi mkubwa sana kwa Baba yetu alie juu..

Sio kweli, kuna version nyingi mpya ambazo zinafanyiwa modifications, so inapitwa na wakati
 
Back
Top Bottom