Tume ya maadili ya viongozi wa uma Tanzania ichunguzwe

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Ndugu watanzania wenzangu kama mnavyojua hakuna mtu aliyejuu ya sheria lakini cha ajabu ndugu DAUDI ALBERT BASHITE anakabiliwa na tuhuma zisizopungua 4 lakini hadi leo bado yuko ofisini. Je, kiongozi anaweza kuwa na tuhuma akaachwa mimi kama laboratory technician kuna vifaa vya 700000 vilipotea ofisini kwangu cha nilisimamishwa kazi 8months with no salary je huyu mwenzetu vipi vipi

Please moderate/administrator tabia ya kufuta uzi wangu iishe
 
Una malalamiko mengi
1. Tume ya maadili
2. Moderators

Lianze kushughulikiwa lipi? Au yote?
 
Ndugu watanzania wenzangu kama mnavyojua hakuna mtu aliyejuu ya sheria lakini cha ajabu ndugu DAUDI ALBERT BASHITE anakabiliwa na tuhuma zisizopungua 4 lakini hadi leo bado yuko ofisini. Je, kiongozi anaweza kuwa na tuhuma akaachwa mimi kama laboratory technician kuna vifaa vya 700000 vilipotea ofisini kwangu cha nilisimamishwa kazi 8months with no salary je huyu mwenzetu vipi vipi

Please moderate/administrator tabia ya kufuta uzi wangu iishe
Ndugu DAUDI ALBERT BASHITE anakabiliwa na tuhuma hizi hapa

1. Kugushi vyeti vya kitaaluma kuliko fannywa na RC makonda huku akijua fika kuwa vyeti anavyotumia vya taaluma si vyake wala si muhusika hivyo kujiita PAUL CHRISTIAN MAKONDA huku akijua fika kuwa yeye ni DAUDI ALBERT BASHITE, amekiuka sheria za nji nakutenda jinai.

2. Kula kiapo cha utii na uaminifu mbele ya Mheshimiwa Rais kwa uhusika wa kugushi ni kosa kubwa sana kisheria,huku akijua fika kuwa Rais alipaswa amuapishe yeye kama DAUDI ALBERT BASHITE na siyo PAUL CHRISTIAN MAKONDA.

3.Kujipatia Mali kama magari na vinginevyo kinyume na maadili ya viongozi wa umma, ambapo zawadi zote unazopokea unapaswa kutangaza hadharani, ikiwemo kupata mali hizo kwa wahusika ambao amekuwa akiwatangaza hadharani na kuwatuhumu kujihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya.

4.Kukiuka Misingi ya utawala bora haki za binadamu na utawala wa sheria kwa kutuhumu watu ovyo hadharani kuwa walijihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kabla ya kukutwa na hatia na kisha wengine kuachiwa huru baada ya kubainika hawakutenda makosa hayo; kinyume kabisa na sheria ambapo mtu anatakiwa kutangazwa hadharani anapokutwa ametenda makosa.

5. Shitaka la mwisho lilikuwa ni la Uvamizi wa kituo cha kirusha matangazo ya redio na runinga cha Clouds media, ambapo akijua kuwa maadili ya viongozi wa umma, hayaruhusu kiongozi kushurutisha au kulazimisha jambo lolote kwakutumia madaraka yake kama kiongozi, ambapo mtuhumiwa alitenda kosa la kutaka kutumia nguvu kurusha kipindi cha kumkashifu Kiongozi wa dini wa Maknisa ya Ufufuo na Uzima almaarufu kamam Askofu Josephat
 
Back
Top Bottom