Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"UMUHIMU WA KUWAFUKUZA WAPIGA DEBE KWENYE VITUO VYA MABASI" NA " TANZANIA KUVUNA FEDHA NYINGI KUTOKA KWA ABIRIA" Serikali kupitia SUMATRA na TRA inapoteza fedha nyingi, endapo SUMATRA na TRA...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa kweli TRA Kitengo cha Leseni Kilimanjaro mnahitaji kujitathmini. Leo niliambiwa kuja kuchukua Leseni yangu baada ya leseni ya zamani kuisha na kutaka mpya ambayo nililipia siku 3 zilizopita...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Takribani miezi mitatu hadi minne sasa inaelekea tangu sakata linalomkabili Mkuu wa Mkoa wa dar-Es-Salaam kushika kazi.. Na sasa tunazidi kusikia mengi juu yake yakijitokeza ambayo kwayo yeye...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo nilikuwa natoka Dar nakuja huku Morogoro, nilipofika Kiluvya kuna sehemu trafiki wanaka sana, zamani ilikuwa ni shamba ya Dr. Hashim, nikasimamishwa na trafiki kwamba nimetembea spidi ya 71...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam. Ndugu Watanzania kila mtu achukue tahadhali na Hawa matapeli wa App ya Ms Tanzania na ikiwezekana Serikali iwashughulikie ili watanzania wasiendelee kutapeliwa japo kazi yao...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) leo imezipiga faini ya jumla ya Shilingi Milioni 695 kampuni saba za simu kwa kosa la kushindwa kutoa huduma bora. ========= TCRA yazitoza...
2 Reactions
69 Replies
10K Views
Kwanza naomba mnivumilie wale nitakaowakwaza. Nataka nizungumzie kuhusu elimu yetu ya msingi haswa kwenye hizi English medium schools ambazo tumetokea kuziamini sana. Hizi shule zinaua elimu ya...
18 Reactions
104 Replies
20K Views
Kwa atakae Guswa Na Msiba Wa Mama Ake Mshana Nimewasiliana na Mshana JR amesema itumike Hii Namba Namba Ni hii 0715685184 Omari waziri no ya bro
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu hivi ule mpango wakuhama mtandao A kwenda B bila kubadilisha line wala namba ya simu uliotangazwa na TCRA kwamba ungeanza 01 march 2017 ulifanikiwa?naomba kama kuna yeyote aliefanikiwa atupe...
0 Reactions
4 Replies
933 Views
Nchi imefikia patamu Sana, Reli (standard gauge) kujengwa na uzinduzi tayari tena ujenzi utagharimu fedha za ndani. Huku interchange pale Ubungo, fly over za tazara na aghakan usisahau...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Maagizo kwa mkulima mwenye kutegemea kilimo kama ajira yake ati asiuze mazao yake kwa sifa za kujikinga na njaa wilayani kwake. Huyu mkuu wa wilaya na atueleze huyu mkulima atapata wapi pesa ya...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Habari za leo watu wa Mungu, Bila kupoteza muda naomba niingie moja kwa moja kwenye main point yangu. Mimi ni mmoja kati ya watanzania Milion 45 ninae penda mwendelezo hasa katika kizazi hiki cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuja na hii mada hapa kuna watu wana watoto wanasoma vyuoni. Leo naulizia wale wenye wadogo zao ama ndugu zao wanaosoma vyuoni hivi kwa mwezi huwa unampa shilingi ngapi ya matumizi. Wale...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Napenda kuwaeleza kuhusu kasoro za bili tunazoletewa na Mamlaka ya MWAUWASA (MWANZA), Mamlaka inao wasomaji wa mita na wanatakiwa wapite majumbani, sehemu za biashara n.k. Hawa wasomaji wa mita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna watu huwa siwaelewi kabisa anatumia nguvu zote kumpinga gwajima kwa kigezo kwamba anachanganya dini na kujipambanua kama mtetea haki au kukemea maovu anayoyaona yeye kuwa ni maovu. Lakini...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Hapa nazungumzia hawa watekaji wa Tanzanzania. Hii sio story za movie au kutunga. Utekaji Tanzania haujaanza leo. Kuna awamu ya Rais Flani hapa Tanzania, wapinzani walitekwa sana. Sema sasa Mambo...
29 Reactions
170 Replies
22K Views
Leo tarehe 12/4/2017 muda huu saa tano na dk 50. Gari la NBS kutoka Tabora kwenda Kigoma. Basi hili limejaza kupita kiasi na abiria hawasikilizwi. Kwa sasa gari ndio limetoka Kaliua kuelekea...
0 Reactions
13 Replies
45K Views
Aliyekuwa Diwani wa CCM Manispaa ya Moshi, Gresta Sodoka amefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kughushi vyeti vya elimu. #Mwananchi. My take: Mkuu wa Mkoa wa Dar anaogopwa kama ukoma...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari Wakuu. Ni takribani Mwaka na Nusu sasa tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani chini ya uongozi wa Amiri Jeshi Dr. JPM. Kipindi chote hiki kimekuwa na kelele za hapa na pale...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Dunia hii imejaa magonjwa ya kila aina. Progeria disease ni ugonjwa unaomfanya mtu anazeeka kwa kasi ya ajabu. Ukiangalia hiyo picha hapo chini, huyo binti aliyebebwa ana umri wa miaka 11 tu...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Back
Top Bottom