Mwili wa binadamu kuchomwa moto

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Je, mwili wa binadamu kuchomwa moto Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na hicho kitendo.

Mwili ukishachomwa majivu yanapelekwa wapi kwa taratibu na mila zetu mtu akipata ajali hata akisagika kabisa au kubaki majivu unazikwa hivi hivi.
 
Mtu ashakufa, wanachofanya huo mwili haiwahusu watu wengine kabisa, ni kutofautiana culture tu.
Serikali haitakiwi kujihusisha na vitu kama hivi maana havina faida wala hasara yoyote kwa taifa, labda ungesema kuzika maana inachukua nafasi, japo mwili ukioza unasaidia mazingira, kisayansi ni vizuri kuzika bacteria wa-decompose mwili kutoa nutrients kwenda ardhini. Ila in the end ni swala sensitive, unapotezea tu kila mtu afanye anavyofikiri hata kutoa viungo kusaidia scientists yote sawa tu.
 
Serikali haitakiwi kujihusisha na vitu kama hivi maana havina faida wala hasara yoyote kwa taifa, labda ungesema kuzika maana inachukua nafasi, japo mwili ukioza unasaidia mazingira, kisayansi ni vizuri kuzika bacteria wa-decompose mwili kutoa nutrients kwenda ardhini. Ila in the end ni swala sensitive, unapotezea tu kila mtu afanye anavyofikiri hata kutoa viungo kusaidia scientists.
WELL SAID !!!
 
Mtu ashakufa, wanachofanya huo mwili haiwahusu watu wengine kabisa, ni kutofautiana culture tu.
Serikali haitakiwi kujihusisha na vitu kama hivi maana havina faida wala hasara yoyote kwa taifa, labda ungesema kuzika maana inachukua nafasi, japo mwili ukioza unasaidia mazingira, kisayansi ni vizuri kuzika bacteria wa-decompose mwili kutoa nutrients kwenda ardhini. Ila in the end ni swala sensitive, unapotezea tu kila mtu afanye anavyofikiri hata kutoa viungo kusaidia scientists yote sawa tu.
Kama uko up-to-date with information kumbuka swala la kutoa viungo vya aliyekufa jakaya kikwete institute ilisema inampango wa kupeleka mswada bungeni ili kuwe na sheria inayotafsiri hilo tendo
 
Si jambo baya na wala si geni, hata hapo nyuma miili ambayo ilikua haipo claimed baada ya muda flani ilikua inatumiwa kwenye research, sema kama nakumbuka vizuri sheria ilikua mwili kama ni wa hapa bongo unatumiwa nchi nyingine, na nchi nyingine wanaleta huku ili isijetokea unaenda kusoma medicine alafu sample inakua mwili wa mtu unayemfahamu. Mtu akifa kafa, kama kuna njia yoyote ya mwili wake kuleta manufaa kwa walio hai sioni sababu yoyote kutokufanya hivyo, basi tu linakua complicated coz linadeal na hisia za watu.
 
Leo wewe ukifa tukuchome na majivu kutupa familia yako itajisikiaje? Ivi huyo waliyekuwa wanasema atachomwa atachomewa/alichomewa hapa hapa bongo?
 
Aliyechomwa familia yake wamekubaliana na hilo, ndiyo mila na desturi zao, sisi ni nani kuwafanyia uamuzi huo?
Mimi nikifa wachome wasichome inanihusu nini? hehe nishakufa sitojua lolote lile linaloendelea, ila ndugu yangu akifa mfano, mwili wake tuchome au tusichome pia kwangu doesn't matter, ashakufa kafa, hafufuki hata iweje, nikiambiwa nichague lazima ntachagua kuzika tu basi tu kwa kua napenda science, ila wenzangu wakiamua wamchome sitobisha pia, wachome tu.

Inabidi tujifunze ku-tolerate watu wenye mila tofauti na zetu, for as long as hazituingilii uhuru wetu, ni sawa na mtu anayeona wachina au wakorea wanakula mbwa anaanza kuja juu kuwatukana, anasahau yeye anakula ng'ombe ila ukienda india ng'ombe ni ka mungu na wao hawali, angezaliwa akakuta watu wanakula mbwa basi na yeye angekula. Tumekua watu wazima inabidi mazoea kuyaweka pembeni na kuanza kufikiria faida na hasara ya vitu na sio kufata tu wazee walichosema maana na wao hawakufikiri vizuri walimeza tu bila ku-question. Nimezunguka nchi nyingi sana siku hizi nakula nyoka, chura, konokono, hata mbwa ukinipa napiga, binadamu tunatofautiana tu ila hamna hasara yoyote.
 
Vipi kuhusu ule moshi unaochanganyikana na mwili wa binadamu wakati anachomwa una madhara yeyote kwenye mazingira au kwa watu walio karibu na eneo hilo ambao wanaweza kua wakati wanavuta hewa/pumzi wakavuta na huo moshi?

Kwa mwenye uelewa please atujuze.
 
MWILI WA BINADAMU NI SAWA NA MNYAMA INAPOUNGUA NI SAWA NA UNAPOCHOMA MBUZI AU KUKU MOSHI YOTE NI SAWA NA HAINA MADHARA KWA UELEWA WANGU
 
Ni moja ya tamaduni tu. Kama unavyojua tamaduni zinapishana kulingana na jamii. Lakini tamaduni zote ni sawa mbele ya jamii ila sisi wanajamii ndiyo tunazibagua. Kila mtu anaweza kutoa maoni yale kwa kitu kimoja tena akawa na hoja.
 
MWILI WA BINADAMU NI SAWA NA MNYAMA INAPOUNGUA NI SAWA NA UNAPOCHOMA MBUZI AU KUKU MOSHI YOTE NI SAWA NA HAINA MADHARA KWA UELEWA WANGU
Ningekuwa mwalimu wako ningekupa 0% na adhabu juu, ivi kwa akili yako kuna moshi usio na madhara kweli tena kwakuwa ni mwili unachomwa kunaharufu na moshi vyote vinaharibu mazingira
 
Mtu ashakufa, wanachofanya huo mwili haiwahusu watu wengine kabisa, ni kutofautiana culture tu.
Serikali haitakiwi kujihusisha na vitu kama hivi maana havina faida wala hasara yoyote kwa taifa, labda ungesema kuzika maana inachukua nafasi, japo mwili ukioza unasaidia mazingira, kisayansi ni vizuri kuzika bacteria wa-decompose mwili kutoa nutrients kwenda ardhini. Ila in the end ni swala sensitive, unapotezea tu kila mtu afanye anavyofikiri hata kutoa viungo kusaidia scientists yote sawa tu.
On top of that, kitu kibaya ni kula maiti tu Kama njia ya kutokana au kupoteza mfu, ila mengineyo ni mambo binafsi. Kumbuka kabla hamjafanya hizo taratibu za ibada ya maziko serikali inapaswa kupewa taarifa ya kifo na pia inapaswa kujiridhisha kuwa huyo mtu ni kweli amekufa ndipo huruhusu kumsikia Kwa ibada mliyokubaliana. Ila sio ibada ya kukata nyama mhagama that is a taboo pia sidhani serikali itaruhusu sababu maiti inapaswa kupewa heshima
 
Ningekuwa mwalimu wako ningekupa 0% na adhabu juu, ivi kwa akili yako kuna moshi usio na madhara kweli tena kwakuwa ni mwili unachomwa kunaharufu na moshi vyote vinaharibu mazingira
basi tujaribu wewe kukuchoma then tuone kama moshi wako ina madhara au la !
 
Hiyo ni tamaduni ya wahindi ambayo hapa Tanzania sidhani kama iko implemented sana...

Katiba ya Tanzania imetoa uhuru wa dini..kila mtu aabudu atakavyo ili mradi asikashifu dini nyingine na asivunje sheria..

Kwa tamaduni wa wahindu, mwili huchomwa moto, baada ya hapo yale majivu yako huwekwa kwenye chungu na kwenda kuyamwaga baharini/ziwani/Mtoni ikiwa ndio ishara ya kukuzika rasmi!
 
Hayo majivu ya huyo maiti aliyechomwa wanayatambuaje? Coz hua yameshachanganyika na majivu ya magogo yaliyotumika kumchomea!!
 
Je, mwili wa binadamu kuchomwa moto Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na hicho kitendo.

Mwili ukishachomwa majivu yanapelekwa wapi kwa taratibu na mila zetu mtu akipata ajali hata akisagika kabisa au kubaki majivu unazikwa hivi hivi.
kwani hiyo katiba imeeleza mtu azikwaje??

nakuuliza swali
 
Back
Top Bottom