Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kutokana na matukio yanayoendelea kutokea katika maeneo ya Mkuranga, Kibiti na Ikwiriri na maeneo ya barabara kuu iendayo Mtwara nashauri kambi ya jeshi ijengwe baada mto Rufiji katika msitu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna tafsiri nyingi kuhusu ijumaa kuu. Je kwako unaitafsirije hii siku?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu, Kama nilivyosema katika kichwa cha habari, Sina mengi ya kusema zaidi ya kuwapongeza ITV Super Brand kwa kutupatia hii huduma. Mmejisogeza zaidi kwa wateja wenu. Jana na leo habari...
11 Reactions
59 Replies
5K Views
Ni muda sasa tangu Hospitali ya kisasa na yenye hadhi ya juu kabisa ktk eneo la mloganzila ikamilike, je Hospitali hiyo ya kisasa itafunguliwa lini ili wananchi waanze kupata Huduma za afya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanzania ni nchi ya ajabu sana tena sana, kuna Mkuu wa shule Iringa huko shule ya msingi Kibonzile( sina hakika na jina la shule na wilaya) kashushwa cheo kwa kosa la kuziongea changamoto za...
11 Reactions
74 Replies
7K Views
Kweli sasa nimeamini kuwa hata umfanyie nini Binadamu mwenzio ambaye pengine wakati wa mateso hayo unayompa wala hakuwa na jambo lolote lile baya ila Wewe tu kwa chuki zako au kwa maelekezo '...
13 Reactions
34 Replies
4K Views
Aidha niendee kutafutana mahindi au kukumbatia Toto zuri mida hii nisaidie maana mda unaenda
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimebahatika kupita pita maeneo ya vituo vya polisi; hususani siku za wikend nikavutiwa na vile vijana Wa kazi wanapongezwa Kwa vyakula na vinywaji kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kukusanya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Professor Hiza amefariki Jumatatu 27 March 2017 katika hospitali ya Muhimbili. Alikuwa mmoja wa walimu wa kwanza baada ya uhuru pale Muhimbili. Mazishi yake yatafanyika kijijini kwake Misalai...
2 Reactions
69 Replies
12K Views
Kwanza napenda kutoa pole kwa Jeshi la Polisi, familia na watanzania wote juu ya vifo 8 vya polisi vilivyotokea kwa ndugu zetu na walinda aman wetu, karibia na Kibiti, mkoa wa pwani. Kwa muda wa...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikutana na wadau wa Sekta Binafsi mapema wiki hii katika mkutano maalum ulioandaliwa na Chemba ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo nchini (TCCIA)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wapendwa, Ajira yangu ya kwaza ilikuwa katika shirika la kigeni, katika shirika lile nilikutana na makaka wawili wa ki-Sukuma wakiwa waajira wenzangu. Nitawaelezea kama A na B...
11 Reactions
41 Replies
7K Views
Eh Menyezi mungu tunusuru na majanga kama haya pia inusuru nchi yetu na mabaya/ Wabaya wanaoingalia nchi yetu kwa jicho la ubaya wasifanikiwe. Watie nguvu ndugu family na marafiki wa askari wote...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sijui mnachoringia kwenye ushindani huu wa ving'amuzi! Nimekuwa mteja wenu wa muda mrefu lakini sasa naona mnataka niwakimbie. Toka nibadilishe kwenda kwenye ving'amuzi vya HD huu ni mwezi wa tatu...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu, Unakuta mtu umelala naye anakuchorea 7, mara achore 6, amelala upande huu asubuhi kaamkia kule kaaah!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NAITAFAKARI ZAMANI YETU NA LEO YA WATOTO WETU. Asubuhi kumekucha nipo kwenye gari la mwendo kasi naenda mjini kwenye mihangaiko yangu ya maisha ya kila siku. Kwa bahati nzuri nimefanikiwa kupata...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi nikweli hawa jamaa wanaongea kweli kumlisha faru fausta kwa mwezi ni million 64 na kumlisha faru Ndungai ni million 70
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wana JF habari, Hivi kumbe watumishi wana mfuko ambao unaweza kuwakopesha? Tujuzane kidogo juu ya huu mfuko. Msimamizi ni nani? Nani anaweza kukopa? Kwa sifa zipi? Taratibu za kukopa zikoje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
‪Bomba kubwa la Dawasco linalotiririsha maji machafu baharini likiwa limepasuka mwanzonina kusababisha vinyesi kutapakaa kando kando ya ufukwe wa Bahari Hindi eneo la Magogoni, hali hii inatishia...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
mada tajwa yajieleza wiki mbili zilizopita nimetoka shule likizo (Niko high school) kuja nyumbani nimekuta shemu wangu amejifungua na uwezo wa kufanya kazi hana bas mzigo ukamwangukia mamangu kwa...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom