Neutral catalyst
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 261
- 147
Inakuaje polisi aliemaliza lindo anauwawa....nnachokiona hapa ni visasi vya mda mrefu. Either kati ya jeshi la polisi na majambazi au watu wwte wasiopenda uwepo wa jeshi la polisi ama kwa kuwa linawazuia kufanikisha shughuli zao...all in all pole kwa jeshi la polisi na familia za marehemu wote