Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,709
- 2,373
Binafsi nimewahi kushuhudia KIPAPAI KIZITO SANA....... nakumbuka wakati tupo Nyansaka-Mwanza kunadogo mmoja aliiba maembe ya bibi mmoja ambaye alikuwa anaogopwa kata nzima kwa ajiri ya natural science.
Baada ya dogo kula Yale maembe akaanza kuStack, lani anapoteza kabisa..... sometime alikuwa anasimama(anaganda) kama mti hata akiwa katikati ya barabara.
Pia dogo alichange language kabisa.... alikuwa anaongea lugha ambayo haipo duniani
M
Baada y wananchi kuandamana dogo akarudi katika ubora wake...
Ndo hivyo tu wakuuu
Kama umeshuhudia tupi hapa tujifunze