Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hapo jana kamanda Siro alionekana 'akiwaombolezea' majambazi ambao walinyang'anywa silaha 'haraka-haaka' na wananchi ambao waliitikia wito wa mh Raisi wa kuwanyang'anya silaha 'haraka-haraka'...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mabadiliko chanya yote yanamadhara kwa upande mwingine... Kama ndani ya miezi 30 ijayo tutakuwa na hiyo treni basi watu wa mabus dar Moro/Dodoma wafanye restructuring ya biashara zao. Kama...
23 Reactions
87 Replies
8K Views
Nina neno moja tu zuri kwa Mheshimiwa Rais wangu mpendwa leo Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nalo ni kukushauri tu kuwa kama utaweza ifanye Taasisi ya Mwalimu Nyerere ( MNF ) kama '...
1 Reactions
5 Replies
878 Views
Ndugu zangu tumeona ongezeko kubwa la ajali za barabarani, lakini na sisi abira tumekuwa tukichangia kwa kuwa tumo ndani mabasi na tunaona dereva anakwenda mwendo kasi na tunabaki kimya. Kuanzia...
6 Reactions
34 Replies
28K Views
Habari wa kuu, Kwa wenye weledi na Maswala ya Sheria na Matibabu hapa kwetu Tanzania , Je mgonjwa anaweza kumshitaki Daktari / Muuguzi / Hospitali endapo atapata madhara yaliyo sababishwa na...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Kweli hii ni Serikali ya mipango na mikakati. Baada ya Serikali yetu kumwaga Ajira za walimu binafsi naamini mambo mazuri zaidi yatazidi kuja,la msingi tuipende Serikali yetu na kutoa...
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Leo hebu tujadili mambo ya maana kidogo kila kitu duniani kina maana yake. Hivi unajua kinyesi chako kinadefine ulivo yaani kitabia, kiafya na kiakili! Kuna aina mbalimbali cha choo/kinyesi...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Heshima kwenu wanajamvi. The video went viral last Sunday. It shows a passenger in an American Airline being dragged off the plane (like a Lion dragging a gazelle in the Serengeti plain ). Tatizo...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Natafuta kifaa kinacho itwa satilie finder kwa anae uza please
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Kwa kawaida huwa tunajidanganya na kudhani tunajua mengi sana kuhusu maisha au yote kuhusu maisha, wakati ukweli ni kwamba tunayoyajua ni yale kidogo tu ambayo tumekutana nayo au kujifunza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunaishi katika ulimwengu huu wa ajabu. Kila mmoja anaafiki kwamba tungeipatia nafasi amani; lakini basi, zile chuki zilizokandamizwa kwa kipindi cha karne fulani zilizopita, zinalipuka na kuwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnitajie vitabu vinavyohusu mambo ya ujasiliamali vya kiingereza na kiswahili
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanadamu hujaribiwa sawasawa na ukubwa wa imani yake. Kwanini Gwajima anapojaribiwa anatangaza vita? Nasubiri Gwajima kama atamsagasaga huyu Mchungaji au machine yake saa hizi yake ni akina...
2 Reactions
58 Replies
12K Views
Kwa kweli nashindwa kuwaelewa Baadhi ya wabunge wetu, kwani utakuta Mbunge kasimama kuchangia bajeti ya wizara husika lakini cha kustajabisha ataanza na misifa na kumalizia na misifa , Je hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Najiuliza sana katika hili, yaani kila nikisikia wahamiaji haramu wakamatwa basi ni wasomali au waethiopia.. cha kishangaza wakongo na wanigeria sio wahamiaji haramu?? Kwa hapa Dar es salaam...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mirungi au milaa ni miongoni mwa kundi la madawa ya kulevya inakuwaje asilimia 90% ya wasomali wanatumia aina hii ya ulevi wakati dini yao inakataza ulevi, inamaana alshabab na wafia dini wengine...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu kuna Jambo linanikera Sana halafu naona hadi kwenye idara za serikali limeanza Nakumbuka wakati wa kampeni mgombea Pombe Magufuli alisema hili suala la kutangaza kazi then kuhitaji watu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
HATARI SANA ```Kwenye moja ya hospitali kubwa hapa mjini, kwenye chumba cha wagonjwa mahututi {I.C.U.} wagonjwa walikuwa wakifariki Dunia kwenye kitanda kimoja na muda ule ule saa 1 asubuhi kila...
1 Reactions
2 Replies
762 Views
Haya swali kwa Waswahili: Kati ya Chai ya Rangi na Chai ya Maziwa ipi haina rangi? Hii mnaruhusiwa kuibia hata Google badaye tutafanya majumuisho
0 Reactions
10 Replies
10K Views
NIMEIPENDA HII POTEZA DAKIKA KADHAA KUISOMA IKUFAE MAISHANI. Baba mmoja alikuwa na wake wanne. Alimpenda sana mke wake wa nne na alitumia gharama kubwa kwaajii yake na kumpa matunzo bora. Pia...
20 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom