Hivi hii imekaaje mwanaume kuvaa kanga na kujionyesha nayo nje?

Wote mliochangia hapo juu hamjui utamu wa mke na hamjaoa.Nina mataulo ya kutosha ila w end mke wangu anapenda nivae kitenge
Mbona nina mwaka wa 5 kwenye ndoa na nampenda sana mke wangu ila kanga sijavaa mkuu, kila kitu kina utaratibu na kanuni zake kaka mwisho atakuvalisha dela
 
Mbona nina mwaka wa 5 kwenye ndoa na nampenda sana mke wangu ila kanga sijavaa mkuu, kila kitu kina utaratibu na kanuni zake kaka mwisho atakuvalisha dela
Unaishi nae ki Dictator mtoto wa watu Mimi nipo kwenye ndoa mwaka wa 12 lkn mke wangu km nimemuona Jana.
 
Kaaanga!!!!!.??????
Aise hapana nunueni taulo wakaka elfu 10 tu taulo.
Nadhani wanaotumia kanga huenda wana element fulani hivi za kichoko. Sorry
Duuu ipo siku atavaa dera
Naona naona ajabu Kanga/kitenge kutumiwa na wanaume lakin hamwashangai wanaume wanao vaa visiruali vinavyo bana miili yao wakati asili ya nguo hizo ni wanawake, kanga au kitenge havina shida kutumiwa na wanaume hasa wakati wa kuoga nk.ni sawa na wewe unae vaa msuli,shuka la mmasai nk tofauti ni materials zilizo tumika kutengeneza pia na mazoea yaliyo zoeleka .
 
Back
Top Bottom