kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 867
Habari wakuu..!
Mtu unapokuwa Na jeraha, jipu au kidonda kwa kawaida huwa Kuna maumivu wakati wa mwanzo wa kitu hicho,.( kuanzia hatua ya kwanza kuelekea kupona)
Binafsi sipendi kuwa Na vitu hivyo lakin Kuna kitu huwa nakpenda Sana..
Napenda hatua ya mwisho ya kidonda au jeraha, pale nnapo bandua ganda linalo kuwa limefunika kidonda/jeraha linalokaribia kupona..!
Au
Ninapo kuwa Na jipu huwa napata raha Mara mbili,
1.wakati wa kutumbua/kuminya usaha.
2.wakati wa kubandua ganda jipu linapo elekea kupona..
Kila nnapopata kijiuvimbe, kijipele huwa natamani kiive upesi Ili nikibinye Na kubandua ganda, otherwise huwa nakuwa disappointed Sanaa..!
Nimeamua niseme tu..!