Ikitokea Serikali ijayo ikawa hivi..je nchi itakuwaje Kimaendeleo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
President awe Mwigulu Nchemba

Vice President awe Dkt. Harrison Mwakyembe

Prime Minister awe Paul Christian Makonda

Kwangu Mimi naona kama vile nchi itapiga sana hatua ya kimaendeleo hadi kuwafikia akina Singapore na Malaysia sijui nyie wenzangu mna maoni gani juu ya Serikali itakayokuwa chini ya hao ' Majemedari ' tajwa Watatu ( 3 ) hapo juu.
 
Sijawahi kukupinga katika hoja ila kwahili naomba niwie radhi nikisema kuwa huu ni utumbo wa mwaka, tena haufai hata kupikia ndizi. Ukifanya background check za hao ulowataja hakuna anaefaa hata kuwa waziri wa kawaida tu.
 
Bashite kaanzisha hii.
 
Nashukuru kwa maoni yako Mkuu na akhsante pia kwa kuchangia.
 
Mwigulu afadhali kwa sababu anajidai ni mzalendo namba moja kuliko mtanzania yoyote ila hao wengine ni wanafiki na watu wanaotumia matumbo yao kufikiri siwaungi mkono kwa lolote hawafai hata kuwa viongozi wa Nyumba kumi (ten cell leader)
 
Godluck Mlinga Awe waziri wa mambo ya nje (ila katika uongozi watu hubadilika kulingana na muda huwenda ikitokea watabadilika)
 
President awe Mwigulu Nchemba

Vice President awe Dkt. Harrison Mwakyembe

Prime Minister awe Paul Christian Makonda

Kwangu Mimi naona kama vile nchi itapiga sana hatua ya kimaendeleo hadi kuwafikia akina Singapore na Malaysia sijui nyie wenzangu mna maoni gani juu ya Serikali itakayokuwa chini ya hao ' Majemedari ' tajwa Watatu ( 3 ) hapo juu.
Katiba tuliyonayo sasa hairuhusu ndoto zako kutimia
 
President awe Mwigulu Nchemba

Vice President awe Dkt. Harrison Mwakyembe

Prime Minister awe Paul Christian Makonda

Kwangu Mimi naona kama vile nchi itapiga sana hatua ya kimaendeleo hadi kuwafikia akina Singapore na Malaysia sijui nyie wenzangu mna maoni gani juu ya Serikali itakayokuwa chini ya hao ' Majemedari ' tajwa Watatu ( 3 ) hapo juu.

Mwakyembe awe makamu wa Rais wakati Rais ni kutoka bara, kwani Kyela itahamishiwa pembezoni mwa MchambaWima?
 
Back
Top Bottom