YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Rais kazinɗua ujenzi reli ya treni za umeme wazazi wenye hela hata kama hamna hela kopeni pelekeni watoto nje kusomea uenɗeshaji na ufunɗi wa treni za umeme ili mraɗi ukiƙamilika mshike ajira.Fursa hiyo achaneni na wabunge wanaoƙalia umɓeƴa ɓungeni mara ohh nitatekwa wanaongelea vitu puuzika visivƴo hakikika na visivƴo na maslahi kwa nchi.Wahini waacheni hao wabunge waenɗelee na porojo zao.wahini fursa.