Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila mtu akawa anatengeneza unga wake nyumbani, biashara ya madawa itakuwa sawa na biashara ya ubuyu na karanga. Kwisha habari yake.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba kuleta hoja hii kwenu watetezi wa wananchi ambao mmechaguliwa kwa kuaminiwa na kuheshimiwa kwa kupewa heshma hiyo mliyo nayo japo wengine hamtakuwa na moyo wa huruma kwasababu nyingi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kufuatia mmiliki wa hotel kubwa iliyojengwa miaka michache iliyopita pande za Mwenge jijini Dar es salaam kushindwa kulipa mkopo wake wa mabilioni ya Pesa aliyokopa, benki hiyo imechukua hatua za...
7 Reactions
105 Replies
13K Views
1. Nimechangia damu zaidi ya mara 20 kwa hiari toka 2009. Hata sasa naendelea kuchangia. 2. Kila mara tunahamasishwa "changia damu, okoa maisha", na pia inasemwa, na imeandikwa "damu haiuzwi". 3...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna kimya kinachonishangaza. Nacho ni cha ‘wanaharakati’ wa Kizanzibari walioziba midomo yao kuhusu madhila yanayowakuta wale waliokuwa wakiwaita “mashekhe wetu wa Uamsho”. Tangu mashekhe hao 10...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Kesi ya kughushi mukhtasari wa serikali ya mtaa wa Levolosi jijini Arusha iliyofunguliwa na mkuu wa wilaya, Dahni Makanga dhidi ya mfanyabiashara, Mathew Mollel imeshindwa kuendelea mahakamani...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Nimepita jengo la stendi kuu moshi nikiwa natokea arusha naelekea Dar, tunauziwa vinywaji vilivyopoa tunaulizia kwanini havina baridi wanasema jengo halina umeme toka juzi, kwa anaejua kiundani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kulichonishaza ni nchi ya israel ambapo ndo chimbuko la ukristo lakini wanaamini dini ni 38% tu Nchi za Africa zimetia fora katika kuamini Ila takwimu za nchi zilizoendelea watu wake hawaamuni...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ninaamini kabsa kila tunachokiona leo kimebuniwa. Ni lengo kwenye shabaha moja kwa moja. Muundo wa mwili wa binadamu unafanya iwepo haja ya kuwako mbunifu wake. Wanasayansi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania yaanza kusambaza UMEME nchini Uganda kupitia REA, vijiji saba 7 vitanufaika kwa kuanzia. JE hii ni nzuri au mbaya? SOURCE:TBC 1
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana JF, Naomba kwanza niulize, kwanini Waziri kama ambaye ni msomi na sio darasa la 7, amejitoa akili kukubaliana na hoja na kutangaza kuwa Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya hupewa vyeo hata kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameishtumu Korea kaskazini kwamba imeikosea heshima China, mshirika wake mkuu, kwa kufyatua kombora la tatu katika kipindi cha mwezi mmoja. Kwenye ujumbe wa Twitter...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ebu leta mchango wa mawazo nini kifanyike ili tupate majibu staiki ya Bashite. Wazo langu... Twendeni feli kuonana na Magu mwenyewe.. Kwa kibali au bila kibali. sawa.. ??
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Binafsi ninashangazwa na watunga Sera za kuongoza nchi, wakuu wa mikoa na wilaya kutokuhusishwa na vyeti fake. Hapa ndo akili ndogo inapokuja kuongoza akili kubwa mwisho wa siku kutumbuana kwa...
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Hili shirika la habari la VOA (voice of America) limefikia hatua ya kuwaongea viongozi wa nchi katika picha za majukwaa tofauti na sehemu husika habari ilikopatikana,kwa mfano katika hili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika safiri safiri zangu zote hasa kwa kutumia njia ya barabara kwa kupanda Mabasi kwenda Mikoani kwa muda mrefu sasa nimekuja kugundua kitu kuwa kumbe Watanzania ' ujanja ' wetu upo mdomoni tu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
If the investigation is incomplete why should someone paying an employee salary?
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Nipo katika harakati za kukatia leseni eneo fulani lenye madini aina fulani yanayotumika kutengeneza vitu fulani kwa sekta ya ujenzi hapa Tanzania na mimi ni Mtanzania halisi tena ninaedaiwa na...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Nchi ilivurugika, Huu ni muda wa kuirudisha nchi kwenye misingi yake iliyovurugwa. Kazi kubwa ya mh. Rais kwa sasa iwe kuipanga upya nchi sio kujenga viwanda. Hata hivyo bila ya kuwapatia maisha...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Jiwe analotupa huyu jamaa linaweza kumpiga mtoto au adui yake..ndicho tunachofanya Tanzania.Tunatupa mawe lkn hatuelewi yanaelekea wapi!. Habari!. Unajua nimekuwa najiuliza sana kwa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Back
Top Bottom