Kwa takwimu asilimia kubwa ya watu duniani hawaamini katika dini na maendeleo ndipo yalipokimbilia

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Kulichonishaza ni nchi ya israel ambapo ndo chimbuko la ukristo lakini wanaamini dini ni 38% tu
Nchi za Africa zimetia fora katika kuamini
Ila takwimu za nchi zilizoendelea watu wake hawaamuni katika dini
View attachment 502512
 
Tanzania mhhh
1503246613752419980.jpg
 
Hizo takwimu mbona sio za kweli? Hata Italy au Roma hazipo kwenye(10) bora kwa Papa mwenyewe
 
Hizo takwimu mbona sio za kweli? Hata Italy au Roma hazipo kwenye(10) bora kwa Papa mwenyewe
Italy? Unawezekana pope akawa huko lakini hawaipi dini umuhimu kama sisi uku africa
 
Kulichonishaza ni nchi ya israel ambapo ndo chimbuko la ukristo lakini wanaamini dini ni 38% tu
Nchi za Africa zimetia fora katika kuamini
Ila takwimu za nchi zilizoendelea watu wake hawaamuni katika dini

Sio kwamba hawaamini Dini ila Wanaamini Uwepo wa Mungu kupitia Miungu yao.
 
Wazungu utawajua ni wanafiki pale wakiwa ndani ya ndege,ikitokea hitilafu kidogo tu,.utasikia jizaz kraist..oh my god...
 
Tofautisha kuamini dini na kuamini uwepo wa Mungu,..wengi wanaamini uwepo wa Mungu ila hizi dini ni sanaa tuu,na wajanja washazipotezeaga mda ndomana wana maendeleo.dini ni politics..ila Mungu aliemba ulimwengu yupo kweli,ila dini,..usanii tuu,
 
Safi sana Tanzania we should even be number one in believing in Jesus Christ
 
Kulichonishaza ni nchi ya israel ambapo ndo chimbuko la ukristo lakini wanaamini dini ni 38% tu
Nchi za Africa zimetia fora katika kuamini
Ila takwimu za nchi zilizoendelea watu wake hawaamuni katika dini
View attachment 502512
Sasa hii research imefanyika miaka ya hivi karibuni na maendeleo ya hizo nchi yapo toka miaka zaidi ya 600
 
Unataka kusemaje
Unapotafsiri results za research yoyote lazima ubalance important factors hiyo research yako inaonyesha nchi zinazoamini tu na sio hali zao za vipato so unataka kusema Korea ni tajiri kuizidi USA
 
Unapotafsiri results za research yoyote lazima ubalance important factors hiyo research yako inaonyesha nchi zinazoamini tu na sio hali zao za vipato so unataka kusema Korea ni tajiri kuizidi USA
Kama umesoma namna ya kuinterprate graph apo results zupo clear kabisa
Sijui unachotaka kuprove ni nini
 
Elimu duni, umasikini, imani ya mauzauza aka miujiza, ndio sababu kuu inayopelekea nchi zetu kuamini ktk dini, wachungaji huyatumia mapungufu hayo kuwajaza maujinga yao. Makanisani wanahubiriwa juu ya kuondokana na umasikini kimiujiza, kupona maradhi pasi ya kumpeleka mgonjwa India, ujinga zao la kukosa elimu huwafinyangia humo.
 
Back
Top Bottom