Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa wale mliopo Uganda hebu tuambieni, je ni kweli bei ya sukari imefikia 4500/=shs.?? Kama ni hivo kumbe huku kwetu tunanafuu.
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Ninavyo fikiri mimi, wakati umewadia kwa serikali kubadili mtaala wa elimu kote mafunzo na ufundi na kununua teknolojia itakayo tumika mashuleni ili kuendana na Dunia ya sayansi na teknolojia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, Kesho ni Mei mosi, Sikukuu ya wafanyakazi nchi yetu ni ya wakulima na wafanyakazi. Nanenane pia huwa ni sikukuu ya wakulima. My take Ninavojua mfanyakazi akistaafu baada ya kulitumikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
SALAM KWENU NDG WANA JAMVI HBR ZA WEEKEND NA POLE KWA MAJUKUMU. Kwanza niende moja kwa moja kwenye swali langu Nimeshuhudia viongozi mbalimbali wakiwemo marais kuandaliwa hotuba au kuandaa wao...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Mimi nimesoma Kirumba primary bwana alikuwepo mwalimu mkuu jina lake Mwl. Jirabi huyu baba alikuwa anachapa bwana tena akikuchapa ni lazima ushike masikio.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Leo kupitia azam tv taarifa nilibabatiza kuhusu madaktari wa macho kutoka Marekani ambao watapima na kutibu kuanzia tarehe 3 mpaka tarehe 8 may 2017. Mwenye taarifa rasmi ya wapi watatolea hiyo...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Mheshimiwa dr jpm anatarajiwa kutoa hotuba ya mei mosi ambapo kitaifa itafanyika moshi tar 01.05.17 katika viwanja vya chuo cha ushirika MUCCOBS(MOCU) Mji wa moshi umekuwa busy kutokana na ujio...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mtu anaeishi Tanzania anapo potelewa na kitu mfano: kadi ya bank, kitambulisho cha kazi ama nyaraka muhimu zinazo muhusu, anatakiwa kwenda kuripoti polisi kwa ajili ya kupatiwa loos liport, ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina imani Mungu amewaamusha salama. Jana jioni nilipotoka kwenye mizunguko yangu, nikajipumzisha sehemu na mtu wangu (ke)mahali. Mtu wangu ni mmoja wa vijana walio kwenye harakati za kutafuta...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nauliza wakala wa TCL appliances wanapatikana wapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MAGARI YA TOYOTA KUTENGENEZWA TANZANIA Kuna tetesi nimeziona kwenye mitandao kuwa Waziri wa Viwanda wa Tanzania amekutana na CEO wa Toyota nchini Japan nakukubaliana na CEO wa Toyota kujenga...
8 Reactions
29 Replies
8K Views
Ukweli serikali ilimwajiri mtoto wangu mnamo tarehe 1/06/2016 kwenye mahakama ya mwanzo kama hakimu, alipewa pesa za kujikimu na alipewa mkataba wa kazi na akapangiwa kituo cha kazi na alianza...
34 Reactions
245 Replies
22K Views
Jeshi la Polisi Jijini Mwanza linamshikilia Mzee wa miaka 66 kwa tuhuma za kumpa ujauzito mjukuu wake wa miaka 16. Inadaiwa kuwa amekuwa akimuingilia kinguvu tangu mwaka 2011. ======== Mzee...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu, Kwa wale wenyeji wa Busega,ningependa kufahamishwa: a)Hali yake ya hewa, b)Yalipo makao makuu ya wilaya c)Kata zilizo pembezoni ma Ziwa Victoria d)Umbali kutoka Makao Makuu ya Wilaya mpaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
https://twitter.com/realDonaldTrump#
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau nimepita maeneo ya UDSM nikaona mizinga ya nyuki imetundikwa kwenye miti iliyotanda nyuma ya jengo la UCC eneo ambalo lilizoeleka kwa wanafunzi kujipumzisha na kujisomea kwa sababu ya kuwepo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salama Ndg zangu. Kumekuwa na taarifa zinazokinzana (sana) kati ya Mamlaka ya hali ya hewa nchini(TMA) na hali halisi yenyewe. Na hili limekuwa kikwazo kikubwa kwa sisi wakulima kuhusu hizo...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Tarehe moja ya mwezi wa tano kila mwaka, ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi. Siku hii ina historia kubwa sana kwa wafanyakazi wote, kwa sababu imekuwa ni siku ya kuazimisha harakati mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Si jambo la kificho tena kwamba kuna kuyumba kwenye maamuzi na ubaguzi wa kuchagua huku kama taifa tukikosa msimamo na mtazamo sahihi katika yale yatokanayo na mikakati maono na vipaumbele vya...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kinanishangaza sana watu kulalamika juu ya rais wetu kua hatendi haki kuwasimamisha kazi wafanyakazi wa uma waliofoji vyeti. Chakusikitisha zaidi unakuta mtu anasema kua "Ohh huyu alifoji miaka ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom