FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,890
- 43,782
Kila mtu akawa anatengeneza unga wake nyumbani, biashara ya madawa itakuwa sawa na biashara ya ubuyu na karanga. Kwisha habari yake.
Kinachofanya madawa yawe ghali ni ile kuyafanya adimu sana, imefikia wakati baadhi ya drug lord huwafanyia fitna wenzao ili wabaki peke yao kwenye soko, ila kila mtu akiruhusiwa kutengeneza na kuuza, zitakuwa worthless kama ubuyu tu wa sh.100, na biashara itakufa yenyeweNgoja waje
Mbna unga wa ugali upo kila mahari na bado upo juu haujashuka?!Kinachofanya madawa yawe ghali ni ile kuyafanya adimu sana, imefikia wakati baadhi ya drug lord huwafanyia fitna wenzao ili wabaki peke yao kwenye soko, ila kila mtu akiruhusiwa kutengeneza na kuuza, zitakuwa worthless kama ubuyu tu wa sh.100, na biashara itakufa yenyewe
Hahahah.., kilo moja ya cocaine inathamani ya milioni 40 na kuendelea, kilo ya unga wa ugali ni milioni ngapi?Mbna unga wa ugali upo kila mahari na bado upo juu haujashuka?!
Unategemea taifa itakuaje si litaangamia.Kinachofanya madawa yawe ghali ni ile kuyafanya adimu sana, imefikia wakati baadhi ya drug lord huwafanyia fitna wenzao ili wabaki peke yao kwenye soko, ila kila mtu akiruhusiwa kutengeneza na kuuza, zitakuwa worthless kama ubuyu tu wa sh.100, na biashara itakufa yenyewe
Nimekuelewa your point of view, there is good logic in itLengo sio kuyashusha thaman, lengo ni kupunguz efect zitokanazo na matumizi yake.
Yakipatikan kwa urahisi na bei kushuka ndio watu wataacha ?
Hapana, hapo kwanz utazalisha mateja wengi sana kwa kipindi kifupi.
Ice cream zinauzwa bei chee, ubuyu pia, karanga, pombe za kienyeji, swali Je urahisi wa bei umefanya hizo bidhaaa zisitumike?
Pata picha tu, hivi sasa ni kinyume na sheria lakini watu wanatumia kwa kasi na vijana kuharibika. Je, wakiruhus watu waanze tumia kwa uhuru hali itakuwaje?
Si ndio vyombo vya dola na hata vya ulinzi utakuta nao mateja?
Pata picha umekabwa unaend kushtaki polisi au unapiga simu fire wanaongea kiteja hawawez hata ku respond kwa muda.
Tafakari upya wazo lako.