WABUNGE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,747
1,385
Naomba kuleta hoja hii kwenu watetezi wa wananchi ambao mmechaguliwa kwa kuaminiwa na kuheshimiwa kwa kupewa heshma hiyo mliyo nayo japo wengine hamtakuwa na moyo wa huruma kwasababu nyingi
Mosi...juu ya kiti hicho cha ubunge; wengine PENGINE MMEPEWA kwa rushwa za namna mbalimbali kwahiyo hamuwezi kuwa na uchungu na wananchi .....pili PENGINE wengine mmepora ushindi wa mtu aliyependwa na wananchi kwahiyo hutakuwa na muda kutafakari hiki ninachokwenda kuhoji.
WABUNGE MLIOCHAGULIWA NA WANACHI HOJA YANGU NI HII.
HATUA aliyochukua Rais kwa wale wote waliofutwa kwasababu ya vyeti feki ni jambo jema sana lakini linatengeneza matabaka kwasababu ya kubagua baadhi ya watu wengine.
Hii inahusu hats wewe mbunge ikiwa ulifoji vyeti hebu mkumbuke mbunge wa temeke miaka hiyo mheshimiwa KIHIYO Leo hii Rais kuacha baadhi ya watu ni kutengeneza tabaka baya sana.
Turejee nyuma
Mheshimiwa Paul makonda Mkuu wa mkoa wa Dares Salaam WABUNGE mmenyamaza kimya kwa hayo aliyotenda hii inatafsiri gani? Hivi WABUNGE mkiamua Bunge lote kusimama kidedea na kuamua kama Bunge kwapamoja hamuoni mtakuwa mmevunja matabaka Ambayo Rais anayatengeneza?
Evidence za magari ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya yamewekwa hapo
Evidence ya jina kamili la mhusika wa hicho cheti anachotumia.
Evidence ya yeye mwenyewe kuvamia studio ya clouds TV
Lakini evidence ya majumba aliyo nayo na safari za kwenda marekani ikiwa Rais alizikataa kwanini Leo Rais anawaonea wale wengine na kuwafutia Kazi na ukumbuke nyuma yao wapo wengi sana yaani wanawatoto wanafamilia waliokuwa wanawategemea na mengine mengi.
Mimi kama mtanzania mzarendo nimeumizwa sana na uamzi huu naomba WABUNGE wetu kwa umoja wenu badala ya kuangalia vyama vyenu jengeni heshma yenu kama mhimili unaojitegemea wa Bunge.
Simameni na kukataa double standard.
Hili jambo halipendezi hata kidogo.
Kama fagio liwafagie wote.
Ukitaka kusafisha nyumba safisha kila sehemu mpaka uvungu wa kitanda.
Haya ni maoni tu
 
Watakusikiliza kweli kwa kuwaponda huko. Hata Mungu mwenyewe huombwa kwa kubembelezwa sembuse Binadamu mwenye Nyongo
 
Unataka kutuambia mpaka sasa hivi kuna VIHIO kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Acha masihara!
 
Unaboa na mirangi yako ya njano, unatuumiza macho
Kaka nilitaka kuweka msisitizo lakini kweli hata mimi nimeona inaumiza macho. Nisameheni ndugu zangu . ingekuwepo program ya Ku bold ingenifaa sana
 
Pole mkuu, ianze tena upya tu. Usiweke mbwembwe weka b&w tosha. Tulitamani kuisoma ila mhhhh.
 
Back
Top Bottom