Za leo jamani,
Wanawake wana kamtindo fulani kakufyata pochi kwani anapokuwa ndani ya daladala au mtaani anatembea, hasa maeneo ya mijini kama Dsm, Arusha, Dodoma, Moshi, Mwanza na Mbeya. Bila...
Limepita tetemeko muda si mrefu
Usiku huu saa saba na dakika 23 mjn Bukoba tetemeko dogo limepita limechukua kama sekunde 15 hivi.
Kama una ndugu yako bukoba mwambie alale kwa tension maana huwa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
TAARIFA KWA UMMA
WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UNUNUZI HISA ZA AWALI ZA VODACOM
Serikali imewataka watanzania kuchangamkia fursa ya...
Kama Mimi ningekua huyo bashite anayefanya nchi inachefuka hivi na kwa kashfa zinazoendelea nchini juu yake na kwa namna anavyoendelea kushushia Hadhi mamlaka ya uteuzi na jiji la dar kwaujumla...
Na MWANDISHI WETU
KAMPUNI ya Bia ya Tanzania Breweries (TBL), imepunguza watumishi wake takribani 100 ndani ya saa 24.
Taarifa ambazo gazeti hili limezipata kutoka kwa watumishi wa TBL, zinadai...
Mazee kama kunakitu kinakera basi Hawa MBU wanao penda kuunguruma masikioni Wamezidi Asee me Bora wanga'te nyama sio kunikoromea masikioni wakati masikioni ni yangu . Yan wanaharibu pozi...
Imekua ni kero sasa kwa hawa vijana wanaodrive subari alteza na haya mapikipiki makubwa kama baja!
Kiukweli vijana wenzangu hapa mjini (Arusha) mmekuwa ni kero kubwa, hiyo mi vyombo yenu...
Ni mikoa michache nchini ambayo wilaya inaweza kukaribia kimaendeleo makao makuu ya mkoa.
Kama ulikuwa hujui ukifanikiwa kupita Kahama Mjini na kisha ukapita Shinyanga mjini unaweza kudhani...
Nimecopy kama ilivyo kwa @mrekebishatabia instagram
===========
Tukiwaga tunapinga madawa ya kulevya muwe mnasikia na kuelewa madhara yake..sasa ona mwisho wa siku mnadhalilishwa vibaya...
Nimefungua kiduka changu nikiwa na mtaji wa million moja,
nimeenda TRA wakanipigia hesabu ya kulipa 150,000 Kwa mwaka huu 2017.
Sijakaa kidogo wamepita watu wa leseni kwenye hii manispaa ya...
Inasemekana kuanzia mwezi wa tano yaani may wanataka wabaki na beers za chupa ndogo kutokana na hali ya uchumi,no more chupa kubwaz.
Adiiiioooos amigoooo.
Soko maarufu kwa biashara za mbao mjini Shinyanga la Kambarage linateketea kwa moto Muda huu, huku fire wakishindwa kuudhibiti moto huo, umbali kutoka kituo cha fire kuja sokoni ni kama mita 500...
Kuna huyu mtangazaji wa ITV anaitwa Julieth Robert. Naona yuko vizuri sana, na very well informed. Anajua kuongoza mijadala vizuri na kwa kujiamini. Naona, anamkaribia yule bwana aliye staafu...
Jana ilishuhudiwa utumbuaji mkubwa na wa kihistoria kwa wafanyakazi wa umma waliofoji vyeti vya taaluma zao hapa nchini na haikuwahi kutokea toka nchi hii ianze
Utumbuaji huo ulifanywa na Rais...
Ndugu zangu watanzania,
kupitia humu jamiiforum nimebaini kuwa wakenya ni wazalendo katika masuala mbalimbali ya nchi yao, mfano jeshi lao yaani wanawapenda asikari wao, rais wao, na maendeleo...
Wakuu,
Leo nilikuwa nasikiliza TBC Taifa mechi ya Simba na Azam. Katika pitapita yangu mitaani nikasikia mtangazaji wa radio moja (mubashara) akiitangaza mechi hiyo. Kilichonistaajabisha ni...
Wana JF naomba kuuliza hivi kwanini serikali isiwape nafasi wanafunzi wengi wanao hitimu nafasi ya kujifunza kazi ili waweze kupata uzoefu wa kazi kwa masomo waliyosomea, ikumbukwe kuwa ni...
1Duniani Kote wanawake wanalipwa kidogo kuliko wanaume. Nchi nyingi duniani wanawake wanapata aslimia 60-75 za wanacholipwa wanaume...
2:Wanawake Wasomi wanauwezekano mara Mbili zaidi ya...
MEI MOSI SHEREHE ZA TISHETI, MAANDAMANO NA MABANGO.
Sherehe za Tshirt husherekewa Duniani kote Tarehe Moja ya Mwezi wa Tano. Pamoja na mambo mengine yawezekana hazijatumika vizuri kuenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.