Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,031
Nipo katika harakati za kukatia leseni eneo fulani lenye madini aina fulani yanayotumika kutengeneza vitu fulani kwa sekta ya ujenzi hapa Tanzania na mimi ni Mtanzania halisi tena ninaedaiwa na bodi ya mikopo ya vyuo vikuu.
Sasa taratibu zote nimekamilisha zikiwemo utafiti na wizara husika imeshirikishwa, lakini changamoto ni huko kwenye eneo, wanakijiji wanahitaj kodi kubwa kwelikweli, yani hawaelewi kitu, wenyewe wanahisi madini yote ni ya mamilion ya pesa, eti kama huwezi yaache yaoze humu humu, na hali zao kiukweli ni duni wala hawana habari na hayo madini hayo, wanayakanyaga tuu.
Hapo hapo nalipa 3% kwenye seikali kuu, sasa hapa kweli uchumi wa kati utafikiwa kwa namna hii ya watu kupendelea kuendelea kuishi primitive life maisha yote na anapojitokeza mtu kushughulika uchumi ukue anakutana na changamoto kama hizi.