Sisi kama wananchi na wapiga kura... nini tufanye kuishindikiza kupata ukweli swala la Bashite

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
431
310
Ebu leta mchango wa mawazo nini kifanyike ili tupate majibu staiki ya Bashite.

Wazo langu... Twendeni feli kuonana na Magu mwenyewe.. Kwa kibali au bila kibali.
sawa.. ??
 
Mwache Bashite afurahie Christmas yake kwa miaka 10 ya utawala wa baba yake. Duniani alikuwepo Mfalme Herod nae sasa tunamsoma kwenye vitabu kama Faraoh.
 
meya wa chadema alichukua hatua, uwe mvumilivu. Ni ujinga kuandamana kisa mdada maarufu mitandaoni kasema flani hana cheti, au mchungaji maarufu kaja na makaratasi anayoyaita vyeti kana kwamba watanzania hawajui vyeti.

Subiri tume ya maadili au Kesi mahakamani kama kweli walienda. kama hana cheti kweli hatadumu, maana udanganyifu hauna sifa ya kudumu..., ila kama kasingiziwa atastawi zaidi...
 
Nachojua kosa lake haliwezi kufutika si duniani wala mbinguni, ni muda tu haki itaonekana kutendeka, iwe awamu hii au awamu yeyote ile haki itapatikana, uzuri ni kwamba wanamllinda tu ila hawawezi kufuta kosa lake. Tumwachie Mungu.
 
~~~>>>Swala la Bashite tuachane nalo tuendelee na mambo mengine.......

!
Swala la Bashite limefika kikomo.
 
Ebu leta mchango wa mawazo nini kifanyike ili tupate majibu staiki ya Bashite.

Wazo langu... Twendeni feli kuonana na Magu mwenyewe.. Kwa kibali au bila kibali.
sawa.. ??
we nani mnataka mwende? ......muulize mange atakushauri
 
Mwache Bashite afurahie Christmas yake kwa miaka 10 ya utawala wa baba yake. Duniani alikuwepo Mfalme Herod nae sasa tunamsoma kwenye vitabu kama Faraoh.
bora yeye anasomwa kwenye vitabu, wewe hakuna mtu atakayejua kama uliwahi kuishi
 
Back
Top Bottom