1. Nimechangia damu zaidi ya mara 20 kwa hiari toka 2009. Hata sasa naendelea kuchangia.
2. Kila mara tunahamasishwa "changia damu, okoa maisha", na pia inasemwa, na imeandikwa "damu haiuzwi".
3. Zams hizi, kutokana na magonjwa,...damu salama inapungua sana.
4. Damu in uhai, Biblia imeandika vyema. Viongozi wa dini watakusaidia zaidi.
5. Kwa kuwa damu haiuzwi, na magonjwa hapawsi kunyinwa damu (japo ndugu wanahonga ili kukwepa replacement donation)
6. Ili kuwezesha upatikanaji wa damu kila mchangiaji damu wa hiari atakayechsnhia damu salama anapaswa kulipwa, na mgonjwa atayeongezewa damu bila replacement anapaswa kuilipia damu hiyo. Kama hayupo tayari kutoa hela, ngugu na jamaa wamtolee damu kufidia damu iliyotolewa stoo.
7. Damu inapaswa kuthaminiwa kama figo, ......... vinavyothaminiwa na kuuzwa
8. Mara kadhaa nimechangia damu bila hata kupewa maji ya kunywa, hasa baada ya mkataba baina ya serikali na Red Cross kukoma.
Kuna changamoto nyingi, ikiwamo ubutu ea sindano unaoongeza maumivu, kuchomwachomwa sindano......ila naambiwa pole ya mdomo.
8. Serikali itoe mwongozo kwa pole, hata kama ni 30000, 40000, au 50000 pale MTU anapotoa damu kwa hiari, na damu hiyo ikathibitika ni salama. Hakuna cha bure zama hizi. Kuwaambia watu "changia damu okoa maisha" bila ya motisha haitoleta matokeo chanya.
9. Kabla hujanikosoa au kunikejeli, jiulize, JE NINI KINATOLEWA BURE ZAMA HIZI??? Kumbuka maji, hewa (Oksijeni), ...vinauzwa huko hosptali, na mkono mtupu haulambwi.
10. Karibu kutoa maoni.