Katika hali ya kushtusha, gazeti la Guardian on Sunday leo lina kichwa chenye tahadhali "Beware, cancer causing toxin found in sunflower seeds".
Kwa kweli kutokana na kwamba mafuta ya Alizeti...
“KAMA kuna pesa imetumwa kimakosa kwenye simu yako, hata kama mwenye simu aliyekutumia kimakosa atakuomba na kukubembeleza, usimrudishie yeye, bali ziache na uijulishe kampuni ya simu inayohusika...
Hivi sisi watanzania tumerogwa? Wazee/Vikongwe, Albino wanauliwa tunabaki kucheka cheka, kina mama wanakeketwa, watoto wanabakwa.
Hakuna taasisi maalumu ya kuwashughulikia maswahibu yao, leo hii...
katika mahala ambapo matajiri wanatarajia kuongezeka afrika, Tanzania yetu imeibuka kwenye list, Ila wivu umenipata baada ya kuona tunazidiwa na majirani wetu tunaosadikika kuwazidi kila kitu...
Gari aina ya Passo T725 DGL limeibiwa maeneo ya kimara stop Dar es salaam majira ya alfajiri kuamkia alhamisi, kwa yeyote atakaye fanyikisha zoezi la upatikanaji wa hili gari tunaomba awasiliane...
Ndugu wanajamvi.
Siku ya tarehe 30/04/2017 sisi vijana wenye hali na nguvu ya kulitumika taifa letu, tunakuomba kijana mwenetu kufika kuanzia saa 12;30 asubuhi kwenda kufanya usafi hapa Dar es...
Kwa kawaida tunadhani kuwa sehemu ambazo zinapewa ulinzi mkubwa katika nchi yoyote ni Magereza, Ikulu na Benki ingawa zipo sehemu nyingine ambazo zinalindwa sana duniani.
Zifuatazo ni sehemu saba...
Acting Chief Justice, Prof Ibrahim Juma has invited two prominent law professors to assist the Court of Appeal determine an appeal on powers of the Director of Public Prosecutions (DPP) to deny...
Mnamo tarehe 12/04/2017. Serikali kupitia TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu wa Sayansi na Hisabati na kuwataka waripoti kwenye vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 18/04/2017.
Hivyo kwa mwezi...
Iangaliwe Meli kubwa ya Kimataifa ya Makontena inayopita polepole mbele ya Paje Zanzibar ya mashariki, inashusha vitu haramu sana na kupokelewa na maboti ya mwendokasi yanayojifanya ya Diving...
Katika hali isio ya kawaida juzi kuna tukio la majambazi limetokea Luguruni kuelekea kata ya Kwembe. Kuna gari la Babro Johnson lilifuatiliwa na hawa wanaizaya wanne na boxer.
Walipofika...
MAHAMA ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, imemuhukumu, Monica Onyango, kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh. 500,000, baada ya kumtia hatiani katika kesi ya kughushi i cheti cha kidato...
"Nimeumbwa na moyo mgumu, ninatamani kufanya kitu, ila dhamira inaniambia nimsamehe, na Mola wangu Inshaallah atamsamehe, tujiepushe na ushabiki wa matusi, tambua Mungu ni wetu sote". Ameandika...
Kama ndio Hivyo, Wahusika wanasubili nini Kupitia serikali za mitaa Kupiga Marufuku Kulima Mboga maeneo hayo?
Kuna Mto wami,Ruvu,Rufiji na mingine midogo midogo Huko kote panaweza kuzalisha mboga...
Habari zenu wakuu,nipo msibani hapa sasa baada ya kupata menu,mzee mmoja wa busara akasema vijana vipi hamchezi karata? Huku akituonyeshea kiboksi cha karata kipya.
Lakini zile karata baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.