Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salam. Yaan hawa jamaa bhana wanapiga sana pesa mjn. Yaan kila kitu mjn lazima wapite katikati tu.Wanapiga cha juu sana aise. Mbaya zaidi kuna ambao wamesajiliwa wanajulikana kisheria lakn pia...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Sasa jamani Ng'ombe zaidi ya 5000 wamekufa Shinyanga Ukame sasa kama wanyama wamekufa, mazao yalipona? Chakula kinatosha kweli bei ya sembe ni bei gani sukari? Wananchi wana pesa? ====== Ofisa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mtoto mmoja wa kiume huko India aliwahi kuwaacha hoi wazazi wake baada ya kuanza kudai aliwahi kuishi kabla ya kizaliwa Mtoto huyo wa kiume, Taranjijt Singh anasema aliwahi kuishi miaka...
8 Reactions
100 Replies
16K Views
Wa Tanzania wenzangu mtandao wa vodacom unatuibia hela mchana kweupe bila kujali na hakuna popote tunapoweza kushtaki. Huduma zao za kutuma pesa ni sawa na ujambazi wa kuvunja na kuingia kabisa...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Msaada mtalaamu wa kufungua website anipm tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nuclear "football " Hufungwa na pingu katika mkono au kiuno cha Askari anayeongozana na rais muda wote .
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Pamoja na kuwa KATIBA yetu ya JMT(1977) haijafafanua wala kueleza lolote juu ya sifa za kuteuliwa kuwa na ELIMU ya kiasi gani (Ibara ya 61(1)-(5) na 67(1) a-c na (2) a-h), lakini bado katika...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
“Wapo wanaotaka kukwamisha maendeleo, hao nina uhakika watashindwa, tena watalegea, sisi ni mbele kwa mbele. Simung’unyi maneno, nitadili nao mpaka mwisho.” “Hiyo ndiyo Tanzania ninayoitaka...
13 Reactions
51 Replies
5K Views
Lipo hili bandiko au thread lenye kichwa cha habari"Tanzanian farmers are racing heavy prison sentences if they continue their traditional seed exchange."Hili bandiko ni muhimu sana hasa kwa...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
http://www.mwananchi.co.tz/habari/1597578-3906774-s8y2h5z/index.html
0 Reactions
0 Replies
640 Views
wana JF nauza king'amuzi cha digtek,ni kizima nimetumia miezi miwili tu. Sasa hv natumia Dstv. Anayehitaji 0715-909642 Tsh 140,000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kawaida kwa mzazi akiwa na mtoto zaidi ya mmoja, kuwalinganisha hasa tabia zao, tangu pale walipozaliwa., Utakuta huyu alikuwa analia sana , labda huyu alikuwa analala sana huyu ni mpole au...
13 Reactions
132 Replies
37K Views
MSANII Emmanuel Mbasha (32) mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka mawili ikiwemo ya ubakaji. Mshtakiwa huyo ambaye ni...
2 Reactions
404 Replies
55K Views
Wadau habari! Katika tembea tembea nimeshuhudia wazee wastaafu walio wengi (SIYO WOTE) ambao walikuwa wanajeshi/ Askari Wa jamhuri walio pigania muungano Wa nchi hii Kwa mazoezi chungu mzima...
2 Reactions
75 Replies
9K Views
Hebu wanasayansi nifafanulieni mtoto wenu wa Tanzania...sio kwamba ni mshamba....but mwanzoni niliamini Ndege hupaa kwasababu ya Propeller, either ile ya mabawa au ile ya Panga k.v...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wadau Leo nataka tujadili jambo hili la athari za rushwa katika jamii, Mwl nyerere aliwahi kusema mara nyingi tu kuwa rushwa ni adui wa haki, rushwa ni kansa, Maneno haya hutajua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeona habari kwenye gazeti moja yenye kichwa cha maneno WALIMU "KUULAMBA" FULANA ZA MWAKA JANA MEI MOSI. Maelezo ya habari hiyo yanaonesha kuwa ukata umesababisha wahusika kushindwa kuzalisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha,imemwachia huru mwenyekiti wa UVCCM, Lengai Ole Sabaya aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kughushi nyaraka na kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa baada ya upande wa...
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Habari wanaJF,Leo nimefuatilia kwa yale yalotokea uku wilayani tunduru mkoa ruvuma kuhusiana na masuala ya meno ya tembo ipo kama ifuatavyo pia pata tamko la Mkuu wa wilaya tunduru alovosema.Nami...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF. Natumai mubukheri wa afya. Napenda kutoa masikitiko yangu kutokana na utaratibu mbovu wa huduma za Bima ya Afya za NHIF katika hospital ya Muhimbili kitengo cha mifupa Almaarufu MOI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom