Hili shirika la Voice Of America vipi?

KALLISTO

Member
Oct 2, 2013
39
17
Hili shirika la habari la VOA (voice of America) limefikia hatua ya kuwaongea viongozi wa nchi katika picha za majukwaa tofauti na sehemu husika habari ilikopatikana,kwa mfano katika hili www.voaswahili.com/a/magufuli-atumbua-majibu-mapya/3830232.html

Mheshimiwa raisi wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,John Pombe Joeph Magufuli anaonekana katika picha sehemu ambayo haina uhusiano na habari ya rais siku ya jana alipokuwa akizungumza na jumiya ya chuo kikuu cha Dodoma kwenye ukumbi wa Chimwaga pamoja na baadhi ya wanasiasa na viongozi wa serikali.
 
Tatizo sio habari ila tatizo umeona ni wakosoaji wa Magufuli.

Ingekuwa ni TBC usingelalamika.
 
Back
Top Bottom