kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,428
- 13,936
Nchi ilivurugika, Huu ni muda wa kuirudisha nchi kwenye misingi yake iliyovurugwa. Kazi kubwa ya mh. Rais kwa sasa iwe kuipanga upya nchi sio kujenga viwanda. Hata hivyo bila ya kuwapatia maisha bora watumishi wote kazi ya kurudisha maadili pahala pake itakuwa ngumu sana kwake.